Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,669 Reaction score 11,767 May 21, 2012 #101 queenkami said: Mkuu hiyo ni kweli lakini kwa Tanzania tu, Nchi tajiri watu maskini na wenye matatizo ndio wanaonenepeana. Click to expand... Teh teh teh! Kwamba masikini wamezoea matatizo na kufanya ni sehemu ya maisha yao ama? BADILI TABIA said: sio shida zinatufanya tunenepe? Maana hatuli chakula bora, tunakula bora chakula.... Click to expand... Duh. Hilo nalo neno
queenkami said: Mkuu hiyo ni kweli lakini kwa Tanzania tu, Nchi tajiri watu maskini na wenye matatizo ndio wanaonenepeana. Click to expand... Teh teh teh! Kwamba masikini wamezoea matatizo na kufanya ni sehemu ya maisha yao ama? BADILI TABIA said: sio shida zinatufanya tunenepe? Maana hatuli chakula bora, tunakula bora chakula.... Click to expand... Duh. Hilo nalo neno
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 May 21, 2012 #102 Always i love Tipwatipwa! Huniambii kitu!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 May 21, 2012 #103 BADILI TABIA said: hilo ndo tatizo, unafanya mazoezi halafu unaenda kubugia nusu kilo ya ugali, nyamachoma na mabeer , unategemea kupunguza unene kweli? Click to expand... BT za asubuhi mkubwa ? Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm
BADILI TABIA said: hilo ndo tatizo, unafanya mazoezi halafu unaenda kubugia nusu kilo ya ugali, nyamachoma na mabeer , unategemea kupunguza unene kweli? Click to expand... BT za asubuhi mkubwa ? Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,741 May 21, 2012 #104 BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 21, 2012 Thread starter #105 Judgement said: BT za asubuhi mkubwa ? Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm Click to expand... nimepita mkuu
Judgement said: BT za asubuhi mkubwa ? Ukipita hapa nakwambia fungua inbox yako una Pm Click to expand... nimepita mkuu
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 21, 2012 Thread starter #106 Mapi said: BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli Click to expand... hhhhaaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mapi said: BADILI TABIA, nakula kwa raha zangu bhana. Kitu unakula hadi ukilala kwa tumbo unakuwa na shape ya meli Click to expand... hhhhaaaaa
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 May 21, 2012 #107 BAGAH said: BADILI TABIA mupenzi mm unene wangu ni wakuzaliwa...nifanyeje?... Click to expand... Wa kuzaliwa + Hilo BAGAH unalosukumiza mdomoni..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BAGAH said: BADILI TABIA mupenzi mm unene wangu ni wakuzaliwa...nifanyeje?... Click to expand... Wa kuzaliwa + Hilo BAGAH unalosukumiza mdomoni.....