BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
- Thread starter
-
- #81
Sasa kama ni mstaarabu ina maana ww ndo umekosa ustaarabu?
Pole mwaya, uachage kupanda yutong. Mie nanenepa mwenzio manake bila minyama uzembe Paw atanirudisha kwetu kwa kukosa shukrani.
Hivi baba wa taifa alikuwa mnene vile? Obama, Bush, Clinton nao vipi?By the way hakuna mwanadamu mwembamba, ni shida tu ndio zinafanya watu wakonde. We mwenyewe ukiwekwa katika mazingira ambayo ni 'mwafaka' utanenepa tu, hata kama unakula chakula kwa level ya kisosa mara moja kwa siku
By the way hakuna mwanadamu mwembamba, ni shida tu ndio zinafanya watu wakonde. We mwenyewe ukiwekwa katika mazingira ambayo ni 'mwafaka' utanenepa tu, hata kama unakula chakula kwa level ya kisosa mara moja kwa siku
heheeh utapigwa ban wewe, kuna mod flani apa namjua jina la utani kitaa wanamuita "tembo bikra"
weeeeeeeeeeeee......uniache tena uniache kabisaaaa...unataka niambiwe nna ngoma au nimeishiwaa? Heee! Unantakia mema kwel?
BADILI TABIA unategeme utanenepa wapi mlo wako wenyewe wa magumash,chai kwa pera kulala unalala chini,malazi ndio usiseme hv yale majipu yako yanaendeleaje?....
inabidi uzoee tu my dear BADILI TABIA,
bongo watu kunenepa ni kama sifa fulani hivi,
kuepuka kero za kuwekewa mikono mapajani na watu majibonge inabidi utafute kausafiri kako uachane na usafiri wa jumuiya.
unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!
Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
Unene sio sifa, eboo
mmmmmmhhhhh!!!!!!!!!unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!
Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
Unene sio sifa, eboo
Hivi baba wa taifa alikuwa mnene vile? Obama, Bush, Clinton nao vipi?
Ukisema hivyo unakuwa unakosea wangu maana kila mtu ameumbwa kwa sura na mfano wake Mungu kwa hiyo ukimdharau mwenzako au kumponda ujue unamponda yule aliyemuumba. Kumbuka sio wote wanaojisababishia unene wengine wameumbwa hivyo na wangetamani kama wangekuwa kama wewe. Hivi ikitokea siku nikakutana na wewe njiani halafu nikaja kukuanzishia thread kuwa BADILI TABIA ana miguu kama mishikaki ya kuku au kama stendi ya kiti ungejisikiaje? Umenisikitisha sana mtu wangu na maneno yako maana hata username unayotumia haiendani na hayo unayoyasema.
Ifike wakati viti vya basi viwe kama vya ndege. Hata uwe na ubonge kiasi gani huwezi ingilia siti ya mwenzio maana ukishusha ile sehemu ya kupumzishia mikono atabanana huko kwake peke yake.
swala hapa ni unene, na unavyojibeheve halina uhusiano na dharau au uumbwaji. Haiwezekani ukalie siti yote bila kutafuta means ya uliyejaa nae.....simply because umekaa dirishani yanayoendelea pembeni hayakuhusu
ikinikera nitasema regardless na ID yangu,
hapa ni kweli hela unalipa sawa utakuta mtu tena anajitanua zaidi mwingine unabaki kuning'iniza **** tu
we acha tu ndugu yangu, kuna trip moja nilienda dodoma, nilipanda shabiby yutong....... Nilijuta, mbaya zaidi bus lilikuwa limejaa jirani yangu alikuwa mbaba na mwili wake wa maana.........
Imagine siti za yutong zinavyobana(pamoja na kusogeza kiti haikusaidia) nikaishia kukaa **** moja, huku mkono wa kulia umeshika kiti cha jirani ili kubalance kufika morogoro tu nilikuwa hoi..........
Ndo maana jana nililalama, na nilifanikiwa kupata siti nyingine maana bus lilikua halijajaa......
Sasa imagine umeminywa hivyo na aliyekuminya hana time, atajisomea magazeti na akisinzia atakuegemea vilevile....
Sasa tupe dawa ya kupunguza...hayo mazoezi uwongo mtupu sana sana utaongeza kula tu.