Wabongo kwa kugombania siti sijui lini watabadilika

Juzi moja niko zangu kituoni ilikuja Eicher haina abiria hata mmoja ndani, then tuliokuwepo hatuzidi kumi, acha watu waanze kugombania. Mi nimekaa pembeni nawaangalia tu!

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Maisha ni hatari.. hii unaweza sema ni scene ya movie Tena imechezwa vizuri sana😂
 
Hii inaakisi uwezo wetu duni wa kutatua changamoto!

Lakini pia inaakisi kiwango duni cha ustaarabu na inadhalilisha utu!

Ni kama mang'ombe yanayoswagwa kupelekwa malishoni.

Pathetic!
 
Hahah hawa wajomba wakienda PK watapata taabu,maana kule ni kusubiri kwny foleni hakuna kugombania.
IMG_6499.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom