Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,498
- 3,605
Haaaa haaaa! Hii imenifurahisha sana,ningekua hapo boda ningewapongeza kwa ujasiri wa kuingia na kutoka state bila kudakwa! Ila hawa jamaa wajitafakari wako na state au soko?View attachment 845753
Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia watanzania 2 kwa kukutwa na gari nyeusi aina ya Nissan V8 iliyoibwa toka ikulu ya Kenyata, Nairobi. Watu hao walinaswa ktk kizuizi cha polisi Boma ng'ombe wakati wakiisafirisha gari hiyo toka Kenya. Gari imekutwa na namba feki za usajili. Zoezi hilo limefanikiwa kwa kushirikiana taarifa za kiintelijensia kati ya jeshi la polisi la Kenya na Tanzania.
Kenyatta's Stolen Escort Car Found in Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app