Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
Kwa mujibu wa watu wa karibu na eneo hilo, walisema kuwa baada ya mazishi hayo kufanyika, ndugu waliweka mlinzi maalum wa kulilinda kaburi hilo kwa muda wa wiki 3, na baada ya muda huo kwisha na kisha mlinzi huyo kuondoka, ndipo lilipotokea tukio hilo lililowaacha watu wengi kutoamini kilichotokea.
Chanzo: Kado Cool