Wabeba Box

Hao waliopotea na kutorudi afadhali warudi. nasema kwa wale ambao mambo yanakwenda vizuri. Utarudi kuja kusalimia tu. Najua kuna shida ya ka ubaguzi lakini nordic countries/Scandinavia ukipata upenyo , nitarudi kusalimia! . Hakuna la kujitapa kwenda ulaya, kwenda ulaya ni shida za nyumbani, nchi za kiafrika! Kule kunafaa kutembea kama hapa mambo yanakwenda vizuri, una mshahara say 150,000 Ths a day take home, biashara nzuri, usiende ulaya! lakini laki 2 kwa mwezi, nitakwenda ulaya nikipata upenyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…