Wabeba Box

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,102
C92-bpNWsAAwhvW.jpg
 
Siku mtaosha majini miguu mtuambie pia. Dah! Halaf mkija huku mnajiona wereevu. Ptyuuuu. Acha nijikalie hapa kwetu; Weitaaaa, zungusha chupa mbili mbili za dengelua hapa. Vaathu vekitio; Mauwaa nkibaja mtwii.
Kama analipwa vizuri, sioni shida, sawa na nurse kumuosha mgonjwa hospitali! au wasemaje! Kama umekaa ulaya ndio kazi zetu, nimewahi fanya katika nyumba ya wazee... nikakusanya hela nikaja na uwezo wa kununua gari, nikajenga, etc! way abck in the 90's
 
Huyo jamaa alienda Kenya, wakenya wakamfananisha na yesu si ndo wakaanza kumualika nyumbani na kumuosha miguu yake. Na ukarimu mwingine kibao.

Jamaa alikula ubwete!
 
Kama analipwa vizuri, sioni shida, sawa na nurse kumuosha mgonjwa hospitali! au wasemaje! Kama umekaa ulaya ndio kazi zetu, nimewahi fanya katika nyumba ya wazee... nikakusanya hela nikaja na uwezo wa kununua gari, nikajenga, etc! way abck in the 90's

Mkuu;
So it is way back into the 90's? Nilidhani unawaambia vijana hawa wasiotaka kujiajiri kwenye ofisi kuuubwa ya kilimo na ufugaji hapa nyumbani wanataka kwenda majuu.
Kama umeshaingia huko majuu, usichague kazi. Osha hadi mbwa. Lakini nawaonya vijana haswa mabinti mnaodanganywa ati mwende kufanya kazi majumbani sijui Oman, UAR, nk. Kwa nini msijiulize; Huko kwao hakuna wasichana?? Pana kamtego hapo. Waliokwenda wamejikuta kwenye mateso hadi kuupoteza uhai wao.
Ushauri wa bure; Nyumbani ni nyumbani kaa hapa hapa bongo. Akheri kidogo cha amani na ujasiri huku umeketi kuliko kingi cha kula wima na hofu nyingi.
 
Siku mtaosha majini miguu mtuambie pia. Dah! Halaf mkija huku mnajiona wereevu. Ptyuuuu. Acha nijikalie hapa kwetu; Weitaaaa, zungusha chupa mbili mbili za dengelua hapa. Vaathu vekitio; Mauwaa nkibaja mtwii.
Sikuwahi kujua wewe ni mwanamke
 
Hapana, No never! Labda huko arabuni! Europe mfano Scandinavian countries nitakwenda kufanya kazi hizo! zinalipa kuliko mshahara wa ualimu hapa! na mishahara mingi tu! Afterall nchi hizo si rahisi hata kupata kazi ya kuosha mbwa!!! It seems hujawahi toka Tz, ukajionea!
 
Mkuu sioni haja ya mtu kujifungia sehemu moja wakati popote kuna riziki.
Nitakutolea mfano halisi.
Kuna binti anaitwa T alimaliza chuo cheti akahangaika kutafuta ajira akakosa. Akajiajiri kwenye mitumba lakini life likawa bado tight. Mwisho wa siku katika pitapita akasikia kuna michongo Dubai ya kazi za ndani. Akaenda akawa anatuma pesa nyumbani kufanya mambo ya msingi. Leo ana nyumba na frm za kupangisha. Je huyu binti angeendelea kuuza mitumba angejenga lini nyumba? Sina jibu.

Madhara yapo sawa ila mafanikio ni makubwa pia. Bila kujali oman Dubai norway south A.. popote kuna riziki za watu.
 
Waende tu mkuu kwani kila mara wanyamwezi wanasema; The grass seems to be greener on the other side. Lakini, nitakomaa hapa hapo mpaka kieleweke. Angali fursa za mikopo, vikundi etc. Kwa nini nitafute vya haraka?
 
Ok, nilikuwa najaribu kukuonyesha ulichoshangaa kwanini wanashindwa kujiajiri na kuamua kutimka...

Kila la kheri.
 
Hapana, No never! Labda huko arabuni! Europe mfano Scandinavian countries nitakwenda kufanya kazi hizo! zinalipa kuliko mshahara wa ualimu hapa! na mishahara mingi tu! Afterall nchi hizo si rahisi hata kupata kazi ya kuosha mbwa!!! It seems hujawahi toka Tz, ukajionea!

Mkuu Retired,
Hatupo kujitapa ila nadhani naweza kuwa nimetembea nchi nyingi kuliko hata weye lakini pamoja na mema niliyokutana nayo ambayo nakula hata leo hii sikuona cha kuzidi hapa nyumbani.
Nilikoenda nilikuwa na mawazo tofauti ndo maana nikaweza kurudi. Wapo nilioondoka nao hapa na wamezamia kabisa kwa Trump. Sasa ni miaka 20+, Lakini, sijaona faida yake. Wamesahau na kuitelekeza familia, wamefiwa na ndg mpaka wazazi hata kufika tu ni shida. Naenda huko, nawaangalia sioni faida yeyote.
Mkuu Retired, Home is home. Nchi za Ulaya ni afadhali ila Asia HAPANA,
 
Siku mtaosha majini miguu mtuambie pia. Dah! Halaf mkija huku mnajiona wereevu. Ptyuuuu. Acha nijikalie hapa kwetu; Weitaaaa, zungusha chupa mbili mbili za dengelua hapa. Vaathu vekitio; Mauwaa nkibaja mtwii.
Hahaha vaathu va hio
 
Shigha vichike avae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom