mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,154
- 8,910
Huu mwezi ni wakati wa Wabeba boksi wengi kuja kula krismas home baada ya mihangaiko ya kusaka maisha ughaibuni ,karibuni sana sisi Wala vumbi tunaasubirieni kwa hamu,ila sasa mjitahidi kupunguza bei za vitu vyenu mnavyouza wakati mkirudi hasa hivyo sekeni hendi,muuze kwa hela ya madafu,na msitukomea eti kwa kuwa vimetoka ughaibuni wakati bei iko chini wengine mtataka kuchuma kisa eti ni Iphone,Sony Viao nk.
karibuni sana bongo tambalale 'Sharobaro kamata mwizi man'
karibuni sana bongo tambalale 'Sharobaro kamata mwizi man'