Wabaya wa CHADEMA wavurugana!

Wabaya wa CHADEMA wavurugana!

Wataumbuka kama huyo mfadhili wao alivyofumaniwa akila uroda wa mke wa kada wa magamba kule igunga.....njaa mbaya sana!!
 
Chadema ni mpango wa mungu hakuna wakushindana na chadema.hahahaha yaani mwenyezi atuletee njia ya kupitia ili kuiona neema alotujalia wanakuja wavimba macho wanajaribu kushindana ila wataumbuka saa yoyote na muda wowote. hua naiombea chadema timly

,,,,,,WAPE WAPE MZEE BAHARIAA,,,,,,:yo:
 
Tanzania daima wanataka kupotosha ukweli kumuokoa boss wao.
 
Hicho chanzo cha hiyo habari sina imani nacho. Hiyo ni habati ya kusadikika tu inaonesha ni jinsigani CDM inavyo tapatapa

Wenye akili hata kama hawaamini vyao vya taarifa, wanajaribu kuoainisha ujumbe wa taarifa na hali halisi katika jamii. Ukifanyahivyo utagundua kweli inakaa na kuishi wapi.

Wananchi wameichoka ccm kiukweli. Na udini wa CCM ndo umeimaliza ccm-magaidi (al-shabab wao Mwigulu, Nape (asiyejulikana ubin wake), Kinana,Jey Key mzee wa mabiashara ya unga). Hamna watakapojificha. Na damu ya albino mliyoimwaga itawaandama daima. CCM mmekwisha.
 
Ili ukubalike ccm isakame cdm, huyu mwigulu kete yake kubwa ni cdm. Sasa anafanya kila awezalo ili aendelee kukubalika huko ccm.
Ni adui wa watz na inchi kwa ujumla. Mhe mwingulu mchemba siasa zako ni za hatari kuliko watu wanavyo kuchulia yote hayo kwa ajili ya kuiendeleza tu ccm?
Au we sio raia wa nchi hii, mie naanza kutia shaka kuhusiana na mienendo yako kwa nchi yetu. Kwani mh wewe ni hatari kuliko ukoma.
Ila wacha viongozi wako wakuchekee na waendelee kukupongeza na kukuongezea vyeo tahamaki maji yamemwagika hayazoleki tena.
Kwanini kila ovu ni ww tu? Na kwann asiwe labda j makamba? Bara hata nape anweza kuwa na chembe ya huluma hata ukimtazama usoni huwa anacho ongea nai tofauti na sura yake, kuliko ww osama wa tz.
Siasa zako zitaiangamiza nchi yetu usitegemee cdm kila siku watakuwa makondoo
kwann usiwe na siasa za kisitabu?
Ni ww tu kwenye jimbo lako mtu alipoteza maisha kutokana na siasa zako hujifunzi?
 
“Mimi sitakubali na nimehakikishiwa na bosi wetu kuwa huyo aliyetusaliti tutatumia wale askari kumwekea hata unga. Haiwezekani fedha tumepokea za kwanza, za pili na tatu kwanini tuuzane dakika za mwisho?” alidai Saumu huku akiendelea kugida bia yake.
 
Ukiambiwa tanzania daima ni gazeti ka udaku watu wanabisha, sasa hii habari ina tofauti gani na zile za kwenye gazeti la uwazi na kiu
 
Naona wengi wa magamba huluponda tz daima, ila kwa mauzo linaongoza! Waansidhi wako makini c kama uhuru na mza
 
ndani ya ccm mwigulu ndio kidogo afadhari (chizi fresh) waliobaki ndio hawajitambui, kibaya zaidi mwigulu anajaribu kukata mpingo kwa wembe.
 
Yawezekana kuwa mkuu wa kaya ndiye anafadhili.
 
Back
Top Bottom