Jaman naomba mnielezee maana ya cdm
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mwigulu! CCM walipotea kumpa cheo.
Hapa ndipo ninapowapendea wana - CHADEMA wa JF! Anaanza mmoja anakuja kudondosha bonge la porojo jukwaani! Kisha,wanatokea wengine kiasi cha kumi hivi au hata kumi na tano kisha wanashikana mikono na kuizunguka porojo husika na kuanza kuimbishana "Ukuti! Ukuti! Wa Nazi, wa nazi! Ukuti, ukuti; wa nazi, wa nazi; Ukija upepo; wapepea ! ukija upepo, wapepea!!" Mwenye wowowo anazungusha wowowo, mwenye kitambi anazungusha kitambi;akina sie tunaishia kutikisa machogo tu;kutahamaki, kumbe kuepepea kwa ukuti si kudondoka kwa mnazi!!
Mwigulu nchemba hizo siasa za kitoto anazoendesha zitammaliza kisiasa ndani ya ccm na nje ya ccm.Na aelewe hakuna siri chini ya jua siku si nyingi kila kitu kitakuwa wazi,huo mchezo watu wenye busara wa ccm wamekaa pembeni kwa kuwa wanajua mwisho wake ni mbaya kuliko mwigulu anavyofikiri.na hii njia anayotumia ili cdm ifutwe aelewe itasababisha vurugu maandamo na uasi mpaka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Mwisho wake utakuwa kama sera yao ya udini ilivyowatokea sasa. Maana 2005 sera iliyowaingiza Ikulu ni kuwa waliahidi kuanzisha mahakama ya kadhi. Leo hii wanasema serikali haipendelei dini yeyote. Sasa wana sera ya Ukanda mwisho wake utakuwa mbaya zaidi maana hata Rais atachaguliwa kwa ukanda
Haaaswa Mkuu! Habari hii ingekuwa na uzito kama ingekuwa imeandikwa kwenye gazeti la Uhuru.Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
umesema kweli mkuu. Si wange iga Gazeti la UHURU?Chanzo Tanzania Daima ha ha ha yaani ukiisoma hiyo habari ni sawa wameandikiwa wale machizi wa Mirembe ha ha ha Chadema kama ndio style zenu za kupambana na ukweli ki-dizaini hii basi RIP
kuwa wapuuzi ambao bado wanasoma tanzania daima gazeti la mbowe lilijaa wachaga wa hai
Jaman naomba mnielezee maana ya cdm
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tanzania Daima ili ni gazeti pendwa la udaku.
Tanzania Daima ili ni gazeti pendwa la udaku.