Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.Ivi kunatofauti kati ya wabarbeig na Wamang'ati.
Ahsante sanaWadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.
Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87,978.
Lugha yao ni Kidatooga, ingawa lahaja zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano kuwa magumu.
Kuna walau makundi saba:
1- Wabajuta
2- Gisamjanga (Kisamajeng, Gisamjang)
3- Wabarabayiiga (Barabaig, Barabayga, Barabaik, Barbaig)
4- Waasimjeeg (Tsimajeega, Isimijeega)
5- Warootigaanga (Rotigenga, Rotigeenga)
6- Waburaadiiga (Buradiga, Bureadiga)
7- Wabianjiida (Biyanjiida, Utatu)View attachment 597459