Wababu nao wamo

Wababu nao wamo

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Kizazi hiki wababu nao wanapenda kula CHAJI...sijui tatizo nini
HAKYS.jpgBABUUU.jpg
 
Roho haikongi kinachokonga ni kiwiliwili na gari bovu huvutwa na nzima!
 
We hujaona Fiat ya miaka ya 80 liefungwa music stereo.
 
Kizazi hiki wababu nao wanapenda kula CHAJI...sijui tatizo nini
View attachment 74417View attachment 74415



Kwa kifupi, tatizo ni middle age crisis. Wanaume wengi walio katika wakati huu hujifanya vijana na kupenda mambo ya ujana yasiyoendana na umri wao kama baadhi ya wabunge wetu hapa nchini. Sawa, huyu anaonekana Mze lakini ni matatizo tu ya CCM yaliyomfanya aonekane hivi. Ki wastani unaweza kukuta huyu jamaa ana miaka 35 -55 (kijana sana) ila matatizo ndiyo yanamfanya kuwa hivi na kufanya mambo ya kustahajabisha. Watu walio kati ya miaka 40 - 60 wana ile kitu inaitwa middle age crisis. Utakuta mtu mwenye hii kitu ghafla anaanza kupenda Bongo fleva, mashindano ya UMiss (ili aone vichupi kama kina Lundenga wafanyavyo), kupanda sana dala dala ili awalipe wasichana nauli, kupita sehemu za shule ili aopoe wanafunzi na kujifanya sugar dady, kwenda misa za watoto kanisani na kukaa huko muda mrefu, kukaa sana barazani wakati watoto wakitoka shule, kuangalia sana sinema za X ili kujipa mzuka, kwenda sana Beach, na kupiga sana nyeto hata kama anatoa upepo ila atajitahidi tu ili mradi hisia zipande.
 
Minaona ata tatizo la kipato ukiwa kijana unahangaika sana kutafuta pesa huoati za kutosha unapofika umri kama huo ndiyo unapata fedha kiasi zinazokuruhusu kujirusha sasa ufanyeje, ulikuwa unatamani totos kama hizi kipindi cha ujana lakini ukashindwa kwasababu ya fedha.
 
Wazee wa siku hizi wanapenda 'ndogo'..picha zinajieleza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom