ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.
dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe[/QUOTE
Mhhh Naima huu ni ushauri au ugomvi unaongeza???Ampe mme wake messeg ya nini????Mshauri vizuri tena
...yawezekana pia ikawa ni mke wa jirani kwa simu ya mumewe, anakupima uaminifu wako, mjibu '...zis is wrong namba', au ...'ze namba iz not richabo' 😀.
asante kwa ushauri.
ivi, nikiamua kunyamaza itakuwaje? si anaweza kuelewa kuwa am not interested, au nyie mnaionaje hii. Je nimueleze mume wangu?
huyu baba ni mtu mzima kidogo, yani anapishana umri kidogo tu na baba yangu.
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia
Mmeo akisafiri (kama huwa anasafiri) mkaribishe nyumbani ukiwa peke yako naye aje peke yake halafu mwambie umeshakubali. Unadhani itasimama?
Mrembo, uchune kwanza na usubiri move yake ya pili upate uhakika. Baada ya hapo utajua mwenyewe
Niliwahi kumsikia nyanya yangu zamani...! Aliwahi kunambia kuwa:
"...Mwanamke akitakiwa/kutongozwa na mwanamme anayempenda, hamuhadithii mtu yoyote, huyaweka yote moyoni mwake. Lakini akitakiwa/kutongozwa na hasiye mpenda hatamwadithia kila mtu..."
Ongea na mumeo, yeye ndiye mshauri na msiri wako nambari one... Na si JF! (Naingiwa na mashaka... Na kujiuliza.... Kulikoniii!!?)
asante kwa ushauri.
ivi, nikiamua kunyamaza itakuwaje? si anaweza kuelewa kuwa am not interested, au nyie mnaionaje hii. Je nimueleze mume wangu?
huyu baba ni mtu mzima kidogo, yani anapishana umri kidogo tu na baba yangu.
Familia zikiheshimiana ndio kinga ya kutotakwa kimepenzi?Mhhh kwanza kabisa kichwa cha habari yako na swali ulilouliza haliendani kabisaaaaaaa..........
1)Umeshasema kwamba hii messeg inaweza kuwa haina nia mbaya sasa kwa nini kichwa cha habari umekiandika kama amekutendea au kakupigia simu a kukuambia mabaya???Au labda kakutumia messeg ya mapenzi???
2)Umesema kwamba familia zenu zinaheshimiana sasa iweje uwe na shaka la kuwa anakutaka???Sasa hapo nadhani kichwa cha habari na swali lako umeona kwamba haviendani kabisa
Think first before you talk something.........Unajichanganya mwenyewe hapo maana usimuhisi mtu kwa kitu fulani wakati sio.........Mawazo yangu!!
kweli? mbona kuna majibu umesema ni mazuri?Nadhani hapo hujajua nia yake nini na kashasema anasimu yako sasa muulize simu ya aina gani umeninunulia simu au unataka kunipigia simu????Usikilize atakujibu nini ndio ujuwe sasa hapo utamjibu vipi.....ila nadhani kwa sasa hivi hapa kwenye jamvi hutopata jibu la kuweza kukusaidia zaidi ya uwongo!!
Familia zikiheshimiana ndio kinga ya kutotakwa kimepenzi?
nimeleta hii issue hapa kwa sababu imenichanganya. kwa mtazamo wangi nahisi anaweza kuwa ananitaka kimapenzi ila I am not sutre 100% ndio maana nikaomba ushauri.
Du jamani jamani angalieni msimpotezee MREMBO ndege wake, hamjanua msimamo wake labda na yeye kamzaimia.
Mbona hiyo issue ndogo tu? du kila mkipata sms mkikimbilia ushauri du hapa patajaa sana. Ni mawazo yangu tu, maana mimi huwa napata sms za kutongozwa na wanawake karibu 3 times a week. amini usiamini[/QUOTE]
Kweli wewe ni Kandambili, sms 3 kwa wiki, 12 kwa mwezi, 144 kwa mwaka.
Zote hizo unatongozwa na wanawake, Je umewahi kujiuliza una udhaifu gani? Jiulize haraka sana, vinginevyo unatudhalilisha wanaume.
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia