Wababa wangapi wanawaogesha watoto wao?

Hongera sana Elli hata wewe ni baba mzuri, barikiwa sana.

 
Last edited by a moderator:
nimekugongea LIKE kwa nguvu sana, mie maji huwa nachota mwenyewe hasa kama Dada wa kazi hayupo au usafi wa chumbani hua tunafanya wote.......japo huuu usafi mara nyingi huishia kwenye ule mchezo hata kabla ya kumaliza usafi, then tunamalizia na kuoga vizuri.............ndoa tamu ati jamani. First Born akiwepo ndio hua mara nyingi anapenda kuja chumbani kumchukua mdogo wake wakacheze. Hua simuelewi kwanini but najua tu kwasababu wanapenda.
Una maanisha wanaume wengi wanasaidiwa kuvua boxer na wake zao au umeamua ku nogesha tu story?. hata kama una ushahidi ujue wanaume kama hao ni ma ubwabwa
 
Elli unajua ni wanaume wachache kama wewe.......,

BIG UP........,
 
Last edited by a moderator:
Kuna challenge ambayo nimeipata hapa kwa office. Kuna mzee moja amesema wanaume wengi wanapenda kufanya ila wanawake ni watu wenye matatizo sana. Ukifanya shughuli kama hizi rahisi sana kwa mwanamke kusema pindi ukiwa na marafiki zako (Baba Nanii muogeshe mtoto, baba nanii kafagie uwanja) anasema mwanaume kwenye maandiko ya dini ameubwa kumtawala mwanamke.
 
Mimi nimekuwa namuogesha mwanangu toka yupo na mchanga,kama baada ya wiki moja hivi.Mpaka sasa anakimbilia miaka minne bado namuangalia mara kwa mara,kumuogesha,kumulisha,kumpeleka school nimezoea na napenda kwani naona na 'bond' sana nae.Naona inategemea na mazingira mnayoishi na mtu mwenyewe,kama mwanamke anafanya kazi au kusoma na wewe unafanya kazi,kusaidiana ni jambo la kawaida.
 

Limbwata! au kuiga mambo ya wazungu. Mwafrika mila zetu haziruhusu hilo, ni "ulofa" huo! Fanya ya kiume (yapo mengi ya kumuonyesha kuwa unampenda) ya kike mwachie mke wako!
 

Mimi sikufanya hayo ambayo ni kinyume na mila zetu, lakini nina bond na watoto wangu sana!
 
Mimba nitie mwenyewe!!!!!
Nilee mimba na mama yake nimdekeze!!!
Mtoto azaliwe nishindwe kumuogesha???!!!!!Of all the things yaan hili linishinde???!!!

Hadi pini la chuma naweza kufungia nepi ya pembe tatu ile.

Ila ntafanya when i want to au kuna hitaji la kufanya au agomee wengine..."tati dadaaaa...!!!!!! Unamtaka nani????? "tata babaaa...aaarh babaaa" you need iron balls to neglect hii call ya mwanao wakati remote zina pause button!!!!!
 
  • Kumi kwa mmoja, tena nikwa first born. Hii inatokana na nature za wababa na kazi zao.
 
  • ........... au kaangalie mboga kama zimechemka. Yap hili ni tatizo, huwa wanapitiwa kidogo hawa wapendwa wetu.
 

Very nice boy, kwa ulichokisema bilashaka some how wewe nitegemezi kwa mkeo kuhusu masuala ya mkwanja (Fedha) kwa sababu kutokuwa na wazo la utegemezi wa kifedha kwa mkeo pia ni mfumo dume
 
Nice
Babies that age are very delicate, handle with care. Even some mothers fear to bath some very young babies.
Tell your friend to keep it up!
Mkuu ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka zaidi! kimombo kina wenyewe!
 
kazi za kike atafanyaje mwanamume?...bhana....yaani kidume nipike wakati janamke nimelioa lipo..never...otherwise limbwata...
 

Hobbies zipo nyingi; hatuwezi wanaume wote tukwa na hobby ile ile! Mwache jamaa aendelee na hobby yake ya kuogesha mtoto wake wa kujifunzia ubaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…