wababa mpoo?

wababa mpoo?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1454949_592283390845235_744057637_n.jpg
 
Hata wanaume ni vile vile...na ukirudia maneno hayo hayo unapata "Kelbu"
 
TTJ, msaada huu ni pole baada ya kula 40 milioni zetu?



Tatizo hapa ni kuwa wewe ukidhani umempata mke uliyemhitaji kumbe sivyo, mshenga amekuingiza mjini kwa kudai mahari ya juu zaidi wakati sehemu ya mahari hiyo imeenda mfukoni mwake. Na hiyo mahari uliyotoa umekopa toka huko huko kwa wakwe!



TTJ, je kuna rada yoyote ya matumizi ya kiraia ambayo ina gharama ndogo lakini inatupatia ulinzi wa hali ya juu wa anga letu? Je rada hiyo inalinda sehemu ngapi ya Tanzania nzima kiasi cha kusema kwa kujiamini kuwa "hakuna wa kutukorofisha katika ulinzi wa nchi yetu". Hivi kabla ya kuwa na rada hiyo tulkuwa tunatishiwa na nchi gani katika anga letu?



Una uhakika kuwa hakuna Mtanzania "hata mmoja seuze wa serikalini" anayehojiwa? Unafikiri kuna ulazima wa kuhoji Watanzania hao kuhusu sakata hili zima?



Huo ni uchunguzi wao, na huo mchakato wao, sisi tunazungumza mambo yanayohusu watu wetu!!

Kupigwa? Lahasha..
 
Back
Top Bottom