Kesho Lipumba akifika kuhani msiba huu wa marehemu CUF huenda maiti ikachana sanda, ombeni sana wafiwa.
Kesho padre akifika kuhani msiba huu wa marehemu daudi mchambuzi huenda maiti ikachana sanda, ombeni sana wafiwa amini
Kesho Lipumba akifika kuhani msiba huu wa marehemu CUF huenda maiti ikachana sanda, ombeni sana wafiwa.
Kesho padre akifika kuhani msiba huu wa marehemu daudi mchambuzi huenda maiti ikachana sanda, ombeni sana wafiwa amini
:focus: nafarijika sana kuona CUF ikizikwa kesho na Lipumba mwenyewe, CUF ni sawa na maiti iliyoozea ndani ya maji.
Nafarijika sana kuona Daudi mchambuzi akizikwa kesho na padre mwenyewe, daudi ni sawa na maiti iliyoozea ndani ya maji
Nakuona Mkuu Topical umeshindwa kuzungumza ukweli sasa unaleta maneno ya upuzi jaribu kuwa Mstaarabu Mkuu utapigwa BAN. Ukishindwa kuzungumza mambo ya Siasa usilete maneno ya kumkashifu Mtu jaribu kuwa mvumilivu.CUF ijitahidi kuamka na kuona yaliyo mbele yake isipokuwa imara itachungulia kaburi Mkuu Topical. Kwa Mawazo yangu mie naiona CUF imekalia Kuti kavu shauri yako wewe lete maneno ya kashfa utakwenda jela na Moderator ana kuangalia.Nafarijika sana kuona Daudi mchambuzi akizikwa kesho na padre mwenyewe, daudi ni sawa na maiti iliyoozea ndani ya maji
Unajibu hoja kwa staili ya kujifariji tu mwenyewe.
Tafadhali lipumba tumekua tukikusubiri uje kuzika huu mzoga wa CUF unatujazia funza.
Nakuona Mkuu Topical umeshindwa kuzungumza ukweli sasa unaleta maneno ya upuzi jaribu kuwa Mstaarabu Mkuu utapigwa BAN. Ukishindwa kuzungumza mambo ya Siasa usilete maneno ya kumkashifu Mtu jaribu kuwa mvumilivu.CUF ijitahidi kuamka na kuona yaliyo mbele yake isipokuwa imara itachungulia kaburi Mkuu Topical. Kwa Mawazo yangu mie naiona CUF imekalia Kuti kavu shauri yako wewe lete maneno ya kashfa utakwenda jela na Moderator ana kuangalia.
Mjibu kiustaraabu usimjibu kimatusi sio vizuri mimi najaribu kukufuatalia wewe na Mkuu Daudi mchambuzi mnahindana kisiasa lakini wewe inaelekea umeshindwa sasa kwanini unamuambia mwenzie atakufa na unamuita RIP? jaribu kuwa mstaarabu sio kuleta matusi tuheshimiane sio kuleta maneno ya pumba natanguliza hivyo.Angekuwa na hoja ningemjibu vema lakini anapotukana taasisi mod pia wanamuangalia au siyo?
Mjibu kiustaraabu usimjibu kimatusi sio vizuri mimi najaribu kukufuatalia wewe na Mkuu Daudi mchambuzi mnahindana kisiasa lakini wewe inaelekea umeshindwa sasa kwanini unamuambia mwenzie atakufa na unamuita RIP? jaribu kuwa mstaarabu sio kuleta matusi tuheshimiane sio kuleta maneno ya pumba natanguliza hivyo.
Acha kuwa biased wewe..anaposema CUF imekufa ni sawa pia nikisema yeye amekufa kwasababu wote hawajakufa au siyo?
Acha kuwa biased wewe..anaposema CUF imekufa ni sawa pia nikisema yeye amekufa kwasababu wote hawajakufa au siyo?