Waasi wanapatikanaje?

waasi wanaweza kutokea mahali popote duniani...hasa pale hali ya maisha inapokua ngumu sana! lakini mara nyingi hawa watu huonekana kama wakipata support ndio utawaona na kuna wengine huwa wanaonekana kidogo then wanapotea (kuuawa au kukimbia nchi).....! na hapa lazima kuwe na spirit (mzuka wa hali ya juu sana otherwise hamna kitu ndio maana hata wengine wanahusiwa na ushirikina kama wale wa uganda na kule DRC kwa sababu hawa ndugu ukikutana nao ni balaa
 
Kwa Tanzania waasi kotokea itakuwa ngumu manake misitu yote ilioko karibu na miji imegeuzwa kambi ya jeshi na iliyobakia ina wanyama wakali au ipo mbali na makazi ya watu hivyo kuifanya kuwa unstrategically kwa waasi.
 
naweza kukubaliana na wewe lakini je ni uvumilivu upi ukiisha wa kuibiwa rasilimali? maisha magumu kwa kukosa basic need? kutukanwa na kudhalilishwa? ukiukaji wa sheria? au ni uvumilivu wa nini ukiisha? na inamaana mpaka uvumilivu wa wananchi uishe viongozi wanakuwa hawaoni au n vipofu?

Viongozi wetu kuona wanaona ila hawasikii,nadhani na ufinyu wa akili nao unachangia,viongozi wetu wanajivunia jeshi kwa kuwa wamelishikilia wamesahau kuwa ndani ya jeshi humo humo kuna waaasi,tena wanye hasira kali siku kikinuka ndio watajua kuwa,hata wale walioowaamini wako kinyume nao.
 
ahsante mkuu ngoja nisubirie lakini kwani wanadalili yakutokea cku za karibu nisijekaa sana nikisubr,

Mpk sasa dalili zenyewe ndiyo kama hv uonavyo na naweza nikakuambia 2015 ya uchaguzi huru inaweza isifike kbs! Mi nahisi siku zinahesabika ya waasi kuonekana hapa kwetu na ninachohisi ni moja ya kwmb wanaweza wakawa na nguvu kuwashinda WAASI wote ulikwishaga kuwasikia hapa dunia,maana raia wamechoshwa na ufisadi wa watu wachache ingali wanafuna hapa hapa TANZANIA. Tuombe uzima tu kwn hakika utajua kilichomnyima kuku kukojoa!
 
waasi wanaweza kutokea mahali popote duniani...hasa pale hali ya maisha inapokua ngumu sana! lakini mara nyingi hawa watu huonekana kama wakipata support ndio utawaona na kuna wengine huwa wanaonekana kidogo then wanapotea (kuuawa au kukimbia nchi).....! na hapa lazima kuwe na spirit (mzuka wa hali ya juu sana otherwise hamna kitu ndio maana hata wengine wanahusiwa na ushirikina kama wale wa uganda na kule DRC kwa sababu hawa ndugu ukikutana nao ni balaa

Du sasa support wanapata kutoka kwa nani maana wananchi siku zote wapo wa pande mbili na ukisema tutafute kwa mataifa ya kigeni tunaanzia wapi na tutawalipaje? au labda wataahidiwa waasi wakifanikiwa watapewa madini ya tanzanite na uranium bure kwa muda maana no free lunch my friend na tukiwalipa hivi mbona tutadidimia?waasi nadhani ni watu wenye strategy na plan za muda mrefu sana
 
Kwa Tanzania waasi kotokea itakuwa ngumu manake misitu yote ilioko karibu na miji imegeuzwa kambi ya jeshi na iliyobakia ina wanyama wakali au ipo mbali na makazi ya watu hivyo kuifanya kuwa unstrategically kwa waasi.

kwani lazima waasi wakae maporini? na je kwa nini maporini si wanaweza tu kuamua mfano kilimanjaro ni ngome ya waasi na wakajipanga kuwateketeza polisi waliopo au nimekosea?
 
Kama itahanzishwa kambi me nipo tayari kuwa chambo cha waasi nchi imeuzwa hii heri tutwangane tu ndo tutaheshimiana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom