Waasi wa Libya wameishiwa ngawira! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waasi wa Libya wameishiwa ngawira!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Jun 19, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Libyan rebels blame West for lack of cash
  By Maria Golovnina
  BENGHAZI, Libya | Sat Jun 18, 2011 5:00pm EDT

  (Reuters) - Rebels waging a drawn-out war to oust Libyan leader Muammar Gaddafi have run out of money, their oil chief said on Saturday, and he accused the West of failing to keep its promises of urgent financial aid. His comments came as cracks were appearing in the NATO alliance over its 3-month bombing campaign against Gaddafi, with some allies showing mission fatigue and the United States accusing some European allies of failing to pull their weight.

  The rebels have made several gains in the past few weeks, but remain far from seizing their ultimate prize -- Gaddafi's powerbase of Tripoli and its hinterland -- despite air support from the world's most powerful military alliance.

  "We are running out of everything. It's a complete failure. Either they (Western nations) don't understand or they don't care. Nothing has materialized yet. And I really mean nothing," rebel oil chief Ali Tarhouni said in an interview with Reuters.

  "All of these people we talk to, all of these countries, at all these conferences, with their great grand speeches -- we appreciate (them) ... but in terms of finances they are a complete failure. Our people are dying," he said.

  SHAMBLES
  The economy in eastern Libya, where much of the oil that once made Libya a major OPEC exporter came from, is in a shambles. Rebel leaders struggle to pay for military operations and salaries in a society where, thanks to the legacy of Gaddafi's centralized rule, most people rely on state wages. The European Union has pledged financial infusions and the United States, which took a leading role in securing a U.N.-backed no-fly zone over Libya, has promised more aid.

  The U.S. government said in a press release late on Saturday that it had "delivered a second shipment of non-lethal aid to Benghazi" which was requested by the rebels, including body armor, uniforms and first aid kits, two days ago.

  Tarhouni has estimated the rebels were spending up to 100 million Libyan dinars ($86 million) per day. "I don't expect us to produce oil any time soon. The refineries have no crude oil, so they are not working," he said.

  Chanzo cha habari
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  wakome.
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Rebels (waasi) wanaungwa mkono na matajiri wa dunia - marekani na nchi za ulaya. Ukistaajabu ya Musa!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nina imani kubwa gadafi atashinda hii vita,nafikiri walibya kutoka tripol wanampa support kubwa
  sasa kitakachofata tuone waasi watakimbilia wapi
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mapolisi wa Dunia (Americans) washachota chao hapo hakuna kitu tena.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  daaah!

  Nawahurumia! Coz Gadaf atashinda, so watakimbilia wapi?
  Am sure Gadaf hatawaacha!...
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Saafi saana!.
  Nitafurahi kweli NATO wakishindwa Africa,watajua kuwa Mungu yupo.
  Yale maneno yao kuwa siku za Gadafi zinahesabika huwa yanamuudhi sana muumba wa ulimwengu.
  Bado naamini kuwa Gadafi ataondoka;sisemi lini, lakini dalili zote zipo kuwa walibya hawana urafiki na akina NATO na hawana uvumilivu wa rebels.Wanaopigana sasa wanapigana wao wenyewe na wala hakuna command ya Ghadafi inayowasimamia.
  Kwa kutokuwa na shukrani juu ya mema waliyofanyiwa na Ghadafi hawa rebels wameingia laana.kila wanavyosaidiwa na NATO wanasema si lolote.Hii kwa upande wa pili ni laana vile vile ya akina US na NATO yao .
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mi mwanzoni nilikuwa nasupport Gaddafi ang'oke, lakini baada ya kuona ukweli, basi tena inabidi niwe kigeugeu natamani Gaddafi ashinde na airushe Libya katika hali yake ya kawaida. Hawa polisi wa dunia wanatafuta chao ili waendelee kuheshimika. Ni totally wizi wa mchana kweupe jamani.
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,747
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..Gaddafi hana pa kutokea.

  ..the best case scenario kwa Gaddafi ni Libya kusambaratika na kuwa another Somalia au Afghanistan.

  ..Gaddafi angekuwa "mjanja" na mwenye nia ya kuinusuru Libya basi angefuata njia aliyotumia Hosni Mubarak.
   
 10. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Joka leo umepotoka.
  Kwani Hosni alifanya nini?.si alifanyiziwa na raia zake!.
  Yatakayotokea Libya kuwa Somalia si kosa la Ghadafi bali ni hao polisi wa dunia.Kabla kuja wao kwani ilikuwa hivyo?.Mimi nataka ajinyamazie tu awache NATO na aibu yao.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kuna kila dalili za waasi kushindwa!
   
 12. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waislam wa umoja wa falme za kiarabu,QUATARY,KUWAIT NA SAUDIA,pamoja na baba zao wakristo NATO hawawezi kushindwa kumuuondoa GADAFF,mwisho wa GADAFF umefika.KUL NAFSI DHAI KATUR MAUT.
   
 13. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Vita hii imeishakuwa ngumu kwa waasi, Gaddaf mwenye ata wasiwasi hana anacheza bao tu
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Personaly I don't buy it!! statement ya "changa la macho" ndo huingia hapa…
  kua wameishiwa na hawana source?? May be kama kuishiwa human power/resource,
  Kwamba nguvu na usongo woote wa NATO uishie kushindwa support hao waasi walo
  wapa nguvu wenyewe… in what sense???
   
 15. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wAJINGA SANA hawa waasi, wanabomoa nchi yao kwa maslahi ya marekani na nchi za magharibi, hawajui kwamba shida ya hao jamaa ni mafuta tu hamna kingine.
   
 16. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Sasa mihela ya Gaddafi itatumika na waasi kummaliza. EU yasema itawapa waasi fweza ya Gaddafi waliyoishikilia.

  EU to look at using frozen Libyan fund for rebels

  Mon Jun 20, 2011 12:42pm GMT

  LUXEMBOURG, June 20 (Reuters) - EU foreign ministers agreed on Monday to look into the possibility of using frozen Libyan funds to assist rebels opposing Muammar Gaddafi.

  A statement agreed by the ministers meeting in Luxembourg said the European Union acknowledged the urgent financial needs of the rebel transitional council in Libya.

  (Reporting by David Brunnstrom; Editing by Michael Roddy)
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
  Ama hizo fedha za Gadafi ndo wanazitumia sahizi NATO ina sasa zimeisha kwa hiyo hilo zigo wanataka kuwaangushia rebel.Teh teh teh
   
Loading...