waasi wa CHADEMA wakila kiapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waasi wa CHADEMA wakila kiapo

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jan 9, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuh laiti wangelijua wasingethubutu kabisa kuhamia CCM. Uvumilivu katika siasa ni jambo linalowashinda wanasiasa njaa njaa wengi. Tuvute subira.
   
 3. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,536
  Likes Received: 1,528
  Trophy Points: 280
  Mbona wameva magamba badala ya magwanda? Hawajafanya maamuzi hao!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ama kweli njaa ni mwanaharamu!
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Wanatubishwa!washenzi sana!hivi utatapikaje na kula matapishi yako?!shwain
   
 6. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani lazima wabaki CDM?ni offence kuhama CDM? Si ndio demokrasia hiyoooo?
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  hakika mungu ni mwema amewaondosha fisi miongoni mwa kondoo
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM kwishinei, yaani mpaka Ngereja Waziri mzima ameanza kuokoteza wanachama?
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mpaka wake na watoto wao mnawahesabau kuwa ni viongozi wa chadema.....
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  waende kama kunawafaa
   
 11. M

  MPG JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wenye njaa na shida wamefuata sh,mia mbili wakati watoto wao wanazalia nyumbani na wanaelimu duni.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hao ni vibendera to hawajui wanachofanya
   
 13. B

  Big man Senior Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hao wamehongwa kahawa huko uswailini na 5000 yamawziwa ya mtoto, anarudisha kadi ngoja 2onekesho kama watapewa tena nawakirudi msiwapokee,
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  njaaa mbaya ssana hebu waone tu kwanza walivo
   
 15. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi hapo wanao apa ni wale wa juu au walioko chini??
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ..............hivi kiapo huwa kinadhuru ? maanake hata CHADEMA waliapa hivi hivi!:juggle:
   
 17. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  hapo unatudanganya...viongozi 30 wa wapi?? Mia
   
 18. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...kaazi kweli kweli!
  50+50=
   
 19. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ..............watarudi watakuta milango imefungwa na bawabu(mlinda mlango) yupo
   
 20. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ni njaa tu, wamenunuliwa ili chama cha majambazi kionekane bora.

  Hao nao ni takataka.

  wameona hawa-fit cdm, kwahiyo wameenda kwa mafisi wenzao...lol
   
Loading...