Kila mwaka tunapangiwa na waarabu na kila mwaka tunaanzia nyumbani hivi hakuna team huko Afrika magharibi?
Kuna mwaka mlianzia kwao mkapigwa tatu bila, kocha wenu akasema hawa jamaa hatuwawezi, viongozi wakachukia walivyokuja hapo mkala moja bila na mkaaga mashindano.