kuna rafiki yangu anafanya kazi OBC Amenambia mwaka huu waarabu hawana mpango wa kuwinda.
kuna rafiki yangu anafanya kazi OBC Amenambia mwaka huu waarabu hawana mpango wa kuwinda.
tofauti na vipindi viliyopita, mwarabu wa loliondo angekuwa amekwisha anza operations za uwindaji kwa kuleta madege makubwa, na prukushani nyingine nyingi. Cha kushangaza hadi sasa hakuna dalili ya kufika loliondo. Ninachouliza ili mijuze wanaofahamu, je amezidiwa nguvu na wamasai na kwamba ameamua kuondoka? Je serikali kwa kupitia kagasheki imeshindwa kwa hoja? Nini inaendelea jamani wanaofahamu?
Ive heard that yesterday one councillor in Loliondo got a phone call from the MP for Simanjiro, Christopher ole Sendeka (of all people), asking this councillor to persuade the other councillors to tell people to remove cattle from the area around OBCs camp. Ive tried to get more information and Ive been told that nobody at any level will entertain the idea to vacate the area in conflict.
Why has ole Sendeka suddenly turned into the errand boy of OBC???
I've heard that yesterday one councillor in Loliondo got a phone call from the MP for Simanjiro, Christopher ole Sendeka (of all people), asking this councillor to persuade the other councillors to tell people to remove cattle from the area around OBC's camp. I've tried to get more information and I've been told that nobody at any level will entertain the idea to vacate the area in conflict.
Why has ole Sendeka suddenly turned into the errand boy of OBC???
Ive heard that yesterday one councillor in Loliondo got a phone call from the MP for Simanjiro, Christopher ole Sendeka (of all people), asking this councillor to persuade the other councillors to tell people to remove cattle from the area around OBCs camp. Ive tried to get more information and Ive been told that nobody at any level will entertain the idea to vacate the area in conflict.
Why has ole Sendeka suddenly turned into the errand boy of OBC???
Ni kweli! Taarifa za kweli ni kwamba mbunge wa Simanjiro amewapigia simu madiwani kadhaa ili kuwashawishi waondoe ng'ombe kwani mfalme karibu atakuja kuwinda. Sio tu kwamba Sendeka anafanya hili kwa niaba ya mwarabu lakini pia inadhihirisha kuwa mwaraba haondoki TZ! Je, madiwani watathubutu kuwashawishi wananchi? Yangu masikio na macho!
kwani wanyama wenyewe bado wapo ?
Tofauti na vipindi viliyopita, mwarabu wa Loliondo angekuwa amekwisha anza operations za uwindaji kwa kuleta madege makubwa, na prukushani nyingine nyingi. Cha kushangaza hadi sasa hakuna dalili ya kufika Loliondo. Ninachouliza ili mijuze wanaofahamu, je amezidiwa nguvu na wamasai na kwamba ameamua kuondoka? Je Serikali kwa kupitia Kagasheki imeshindwa kwa hoja? Nini inaendelea jamani wanaofahamu?
. Very strange comment. Loliondo is still there and thousands of people live with the threat of having their lives and livelihoods destroyed by a planned land grab by the government of Tanzania.Loliondo imebaki historia