Waarabu wameenda Ulaya kuharibu mpira, ni waharibifu hawana maana wameanza na manchester city na PSG

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
4,047
8,542
Ukimuona mwarabu sehemu tegemea uharubifu,ujinga na uchafu uchafu nwingi

Chukulia mfano Tanzania, waarabu wameiharibu nchi yetu kila kitu wanahonga ,wanatoa rushwa,wananunua upendeleo

Kule ulaya Mwarabu ameshaharibu tayari amekuta utamaduni wa mpira wa ulaya una utamu wake yeye akaenda kwa pupa kuingiza mapesa yake ili ashinde makombe unashinda makombe lkn hushindi mioyo ya mashabiki wanakuona limbukeni lisilo jua kutumia pesa

Haya manchester city unachunguzwa kwa kufanya udanganyifu kwenye matumizi na mapato yake kuwa alidanganya alidanganya alidanganya

Wenzetu weupe wana subra na akili utafajipindua pindua ila utajaa tu kwenye 18 zao

Timu ya manchester city ni timu ndogo isiyotengeneza faida ila matumizi mara mia ya usichoingiza

Sijawahi ona watu wajinga km waarabu umeinunua manchester city,bado unaunda makampuni fake matatu yaidhamini timu ili uonekane timu intengeneza faida kumbe hasara juu ya hasara

Ulaya wasipokuwa makini na waarabu hata mashindano ya uefa yatakosa mvuto kutokana na hii mijamaa kufanya udanganyifu kwenye timu wanazomiliki

Mwathirika mkubwa wa uwekezaji wa mwarabu atakuwa uingereza na ufaransa

Spain Barcelona na madrid wamemwambia Mwarabu asisogeze pua

Ligi ya bundasliga pia haiwataki hawa watu waharibifu wa mpira

Epl isipojisafisha itaenda kufa kifo cha mende

Poor Arab money
 
Arabs = gods to some people..
Tarajia kupopolewa!
 
Hao Waarabu ulio watolea povu wangekuwa wanajua kuwa huko kwenye nchi fulani iliyoko kwenye bara la giza kuna mlala njaa mmoja anawa ongelea labda ingesaidia.

Lakini sasa unatoa povu hali ya kuwa unajua kuwa hilo povu halitabadilisha chochote sasa kwa nn tusikuite mpumbavu?
Bila shaka kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa ulikula kwanza chapati zilizo chomwa kwa ngano ya Azam ambayo pia na yenyewe inamilikiwa na mwarabu, haaaaaaa ila watz tuna safari ndefu.
 
Ukimuona mwarabu sehemu tegemea uharubifu,ujinga na uchafu uchafu nwingi

Chukulia mfano Tanzania, waarabu wameiharibu nchi yetu kila kitu wanahonga ,wanatoa rushwa,wananunua upendeleo

Kule ulaya Mwarabu ameshaharibu tayari amekuta utamaduni wa mpira wa ulaya una utamu wake yeye akaenda kwa pupa kuingiza mapesa yake ili ashinde makombe unashinda makombe lkn hushindi mioyo ya mashabiki wanakuona limbukeni lisilo jua kutumia pesa

Haya manchester city unachunguzwa kwa kufanya udanganyifu kwenye matumizi na mapato yake kuwa alidanganya alidanganya alidanganya

Wenzetu weupe wana subra na akili utafajipindua pindua ila utajaa tu kwenye 18 zao

Timu ya manchester city ni timu ndogo isiyotengeneza faida ila matumizi mara mia ya usichoingiza

Sijawahi ona watu wajinga km waarabu umeinunua manchester city,bado unaunda makampuni fake matatu yaidhamini timu ili uonekane timu intengeneza faida kumbe hasara juu ya hasara

Ulaya wasipokuwa makini na waarabu hata mashindano ya uefa yatakosa mvuto kutokana na hii mijamaa kufanya udanganyifu kwenye timu wanazomiliki

Mwathirika mkubwa wa uwekezaji wa mwarabu atakuwa uingereza na ufaransa

Spain Barcelona na madrid wamemwambia Mwarabu asisogeze pua

Ligi ya bundasliga pia haiwataki hawa watu waharibifu wa mpira

Epl isipojisafisha itaenda kufa kifo cha mende

Poor Arab money
Heri wao wanaharibu kulipiza kisasi kuliko waswahili wanaofugwa. Kwani wazungu siyo waharibifu? Nadhani hapa washenzi wawili wamekutana japo hii haitusaidii chochote
 
Back
Top Bottom