Mleta mada unaelekea kuwa mchawi.
Kibaya walichokifanya waarabu ni nini? Ni kipi kikubwa wanachokifanya ambacho Real Madrid, Barca, Man Utd, Chelsea, Liverpool, Arsenal hawafanyi? Wazungu wana wivu sana na waarabu na ndio mana wanateseka nao, Nawewe ndio mmoja wa mawakala wao.