hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,475
- 27,068
Waarabu wameamua kumwabudu Trump
Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha mbele ya mkuu. Ingawa mkuu anawaza hela tu, anapita kwa mbali. Napo watasaini deal zito ni kama wanashindana kumwaga pesa kwa mzungu.
Ziara hii imetupa ufahamu kuwa, Marekani kwa muarabu ni nani. Tumeiona nguvu yake kwa vuguvugu hili la Waarabu ambayo Waarabu wameshaiona siku nyingi kasoro Wajahidina. Na zaidi tusiwadharau Waarabu, wameamua kula na kipofu, maana sio rahisi kujitoa mikononi mwa Marekani. Wanajua matokeo yake ni nini, na kwanza ndio anawalinda. Na zaidi Marekani ndio mteja wao mkuu wa mafuta ingawa Marekani ina mafuta mengi zaidi yao ila haiyachimbi. Waafrika tujifunze, kuwa provoke wazungu sio ushindi wa Afrika. Tunapaswa kujifunza kula na kipofu huku tunajenga nchi zetu kama Waarabu au China.
Ila nimepita huku na kule nimeona Waarabu weusi wa Buguruni wamenuna na wanaumia na kurusha matusi tu kwa Mwarabu mweupe hadi nimeshangaa. Naona nao wanajihisi ni sehemu ya nchi hizo, aibu yao. Narudia tena, Muarabu hana time na wewe sababu ya dini, dini haimfanyi kutokuwa mwarabu, anakushangaa wewe kukomaa na mila zake huku yeye hana time na zako. Uislamu haukufanyi kuwa mwarabu. Shame.
Jenga kwako maana ndipo utakapozikiwa.