Waarabu na Waislamu wanakwama wapi?

Huyu huyu Allah ambaye wakiuana wenyewe kwa wenyewe wanamtukuza Allah Akbar?
 
Usiwe miongoni mwa Brainwashed. Weka news kwa balance.. hiyo 1948 nini kilitokea na hizo vita nani alisababisha na nani alichapwa.. na lengo la Arabs ni nini? Kuna nchi zimegoma ujinga huu wa Uislam. Na zina uhusiano na Israel Israel ipo na itaendelea kuwepo na waarab wataendelea kuwepo.. arshi ile British aliigawa vizuri Arabs upande wa Jordan na Waisrael walipo now sasa yale mabaki ya Arabs upande wa Israel ndio wasumbufu.. mgogolo huu ni sawa na India British aligawa ardhi waislam na wahindu sasa Waislam walibaki upande wa wahindu wanaona kama wanaonewa
 
Nyani Gabu:

Zuheir Mohsen, kiongozi mwanamizi aliweka wazi alipojiwa na gazeti la Kidachi (Trow) Mwaka 1977. Kwa kifupi tu huu ndio msimamo wa Waarabu.....Hakuna Wapelestina.....wako hapo kwa strategic reasons:

  • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Huo ndio mtazamo wa ndani wa Waarabu wengi....Kwao hilo swala la occupation haliwasumbua wala kuwakosesha usingizi!
 
Watu huwa hawajui baada ya kuanguka Ottoman Empire, Mwingereza ndiye alizitengezeza Lebanon, Jordan, Iraq na Israel! Wanaposema Israel imetengenezwa huwa inashangaza wanapokaa kimya kuhusu Ukweli wa Historia.

Wengu huwa hawazungumzi kuhusu UN Resolution Partition 181 ya 1947. Two States zilitengenezwa, Arab States na Israel, Israel ikaikubali portion yao, Na Waarabu wakaikataa wakao haukuwa mgao mzuri, na wakaamua vita vya kujiunga pamoja mataifa matano (Lebanon, SYRIA, Iraq na Egypt, battalion ya Saudia ilipigana upande wa Egypt.

Vita vya 1948 vilibadli kabisa mgogoro huu na kuleta kitu kingine kabisa:

- Warabu walipoteza ile partition yao waliyopewa na UN 1947

- Kwa kuwashinda Waarabu, Israel ikajikuta imeongeneza maeneo yake pasipo kutarajia.

- Waarabu waliokuwepo hapo, kwa kutaka kwao, kwa kutoka kuwa chini ya Israel, kwa kufukuzwa na Israel baada ushindi, ikaanzisha Waarabu waliokimbilia uhamishoni, na miaka ya baadaye kujitambulisha kama Wapelestina!

Kiongozi mwandamizi wa PLO Zuheir Mohsen mwaka 1977, alisema wazi, hakuna taifa la Kipalestina....

  • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Waarabu wanaujua ukweli huu, ndio maana huwa hawana msukumo wa ndani wa hiyo "occupation" labda kwa sababu za imani tu!
 
Watu huwa hawajui baada ya kuanguka Ottoman Empire, Mwingereza ndiye alizitengezeza Lebanon, Jordan, Iraq na Israel! Wanaposema Israel imetengenezwa huwa inashangaza wanapokaa kimya kuhusu Ukweli wa Historia.

Wengu huwa hawazungumzi kuhusu UN Resolution Partition 181 ya 1947. Two States zilitengenezwa, Arab States na Israel, Israel ikaikubali portion yao, Na Waarabu wakaikataa wakao haukuwa mgao mzuri, na wakaamua vita vya kujiunga pamoja mataifa matano (Lebanon, SYRIA, Iraq na Egypt, battalion ya Saudia ilipigana upande wa Egypt.

Vita vya 1948 vilibadli kabisa mgogoro huu na kuleta kitu kingine kabisa:

- Warabu walipoteza ile partition yao waliyopewa na UN 1947

- Kwa kuwashinda Waarabu, Israel ikajikuta imeongeneza maeneo yake pasipo kutarajia.

- Waarabu waliokuwepo hapo, kwa kutaka kwao, kwa kutoka kuwa chini ya Israel, kwa kufukuzwa na Israel baada ushindi, ikaanzisha Waarabu waliokimbilia uhamishoni, na miaka ya baadaye kujitambulisha kama Wapelestina!
 
Tuzungumzie kwanza hapo Sudan waarabu koko wanawaua waislam weusi,gaza mbali sana mkuu.
 
Upo sahih suluhu pekee Izrael nae anapaswa kudundwa ili aonje ladha ya maumivu itakayomshawish apunguze ukal
haki hudai kwa mabavu hata siku moja na ukafanikiwa, mandela kafanikiwa bila kuuwa kikatili mkaburu kwa nini Hamas antumia ufilimoni kudai haki yake.
 
Quruan ewezi kushindana na teknolijia.Wanaamini imeshushwa
 
Umeongea ukweli mtupu.

Mimi napinga sana double standards. Wewe unaua watoto wa mwenzako, wakiuwawa wako unataka dunia ikutetee.

Inawezekana ni kweli haki ni ya Palestina lakini wamechagua kutumia vita kudai haki.Vita havina macho.

Bado naamini kuna njia nyingi tu za kumaliza huu mzozo kama kila upande utaamua kuweka ego yake pembeni.
 
waarabu hawamtaki mtu yeyote aliye na undugu wa historia na yesu kuwa na nchi pale mashariki ya kati.katika katiba zao wamepiga marufuku kujenga maknisa, kuvaa rozari hadharani na kuuza kitu chochote cha kumtangaza yesu katika ardhi yao. Ikitolea UN ikatambua chuki hii ya waarabu hadharani basi suluhisho la mgogoro huu litakwisha . nchi za magharibi hazitaki kujua kwa nini nchi za kiarabu zina uhasama na yesu kwa sababu ya mafuta, hapo ndo chanzo cha mgogoro huu kutokuwa na mwisho. waarabu wanendesha magari kwa sipidi kali na kuwavaa wwatu sokoni kimakusudi na kuwauwa kwa kuwakanyaga na gari lakini huko ujerumani wamekaaa kimyaaaaa.
 
adui yao sio netanyahu na nduguze bali ni YESU KRISTO tuu. chuki walionayo waarabu kwa yesu inatisha na inakera kupita kiasi. mgogoro huu hauna mwisho wala hautatuliki kamwe.
 
Tuzungumzie kwanza hapo Sudan waarabu koko wanawaua waislam weusi,gaza mbali sana mkuu.
Arab leagua wana migogoro mingi sana lakini wao wanamtaka mwanandugu wa yesu kristo aondoke pale mashariki ya kati. chuki walionayo kwa yesu ndio chanzo cha huu mzozo usona mwisho. Tumuombe Fambo(francis andrew mbozia) katika simu ya kifo ajitokeze
 
Shida kubwa hawana umoja lakini pia kuna Marekani ambae yeye ndie anampa kiburi Israel. Wayahudi wanapokea unlimited aid kutoka Marekani pamoja na silaha , hii ndio inayofanya Israel ionekane ina nguvu, bila marekani hakuna Israel, lakini pia alichofanya Marekani ni kuzinunua nchi zote za karibu zinazopakana na Israel, nchi hizi ni Egypt, Jordan, Saudi Arabia , Uae, Kuwait, Qatar na Bahrain, hivyo utaona wapalestina wako peke yao hawana rafiki. Hichi ndicho kinachowapa kiburi wayahudi kufanya maovu wa kila aina kwa wapalestina wanyonge.

Lakini muda utafika wa taifa la Israel kuanguka pamoja na vibaraka wao wote, iko siku wamarekani watazinduka na kuacha kuisaidia Israel , ipo siku vibaraka wote wa Marekani watafurushwa na huo ndio utakua mwisho wa Israel
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
pale kenya wafuasi wa kristo waliuwa kikatili kwa kuulizwa taja jina la mamake mtume muhamad. kama hajui basi magaidi yalijua huyo ni mkristo mwishowe anauwawa. chuki hiyo ndiyo iliyopo huko mashariki ya kati kati ya myahudi na mpalestina. ila huko mashariki ya kati myahudi anawajulia kisawasawa anawataimu wakiishalima mashamba ule muda wa kuvuna ukiingia tuu aningiza vita, muda wa kufunga ramadhani ukija wakianza kufunga basi kufuturu ni ahera na njaa na swaumu mpaka kaburini!
 
Dua la kuku hilo katu halimpati mwewe!Mpalestina siyo mnyonge na wala hayuko peke yake. juzi kapigana na israel idadi za nchi zilizofungua kesi mahakama ya dunia kuishaki netanyahu gvt ni sabaikiwemo kibaraka mweusi Sauth Africa. hata brazil kaingia kati kuksapoto mpalestina. wewe bwege sana unataka marekani tuu aiache israel wakati marekani anatii amri ya genesis au kitabu cha kutoka 12.12-24. ukimpenda Israel utabarikiwa na ukimchukia utalaaniwa. chunguza Libya na kenya nani kabarikiwa.
 
Nyinyi makafiri mnapenda kujipa moyo na mnakua na kiburi, lakini time will tell, one day we will look down into your corpes and smile. Halafu kinachoshangaza Israel hakubaliani na ukristo wala hamtambui yesu wala Biblia, lakini mko bize kujipendekeza kwa mayahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…