MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
Ukiwaangalia tu usoni nani mkweli?karibuni, mi nimechoka na mijadala...............picha ni zaidi ya maneno
Zitto hana Nidhamu tu, na inaonekana ni toka utotoni na hii inasababishwa na mama kuwa na sauti zaidi ya baba kwenye familia.
na hayo ulioandika ni picha![]()
Ukiwaangalia tu usoni nani mkweli?karibuni, mi nimechoka na mijadala...............picha ni zaidi ya maneno
Hana nidhamu!!!
Binafsi siwaamini wote! Nikikumbuka sakata la mabilioni uswis na zitto nachoka kabisa, huku akigawana mamilioni na mafisadi, kuhusu mh. Mbowe nikikumbuka lile sakata la kuchukua pesa ya safari na kutokwenda, pamoja na tuhuma ya kupewa pesa na rostam. Mhmm.
Zitto hajafunzwa na wazazi wacha dunia imfunze
Ndio...
katika hao wawili, mmoja hana hela lakini hana njaa na mwingine hana hela lakini ana njaa
hahahahaaa...Mnachekesha kweli