Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia mahakamani hapo.