Waandishi wa habari wa Luninga wasiojua kuvaa

Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
<br />
<br />
ULIKUWA NA UMRI KIAS GAN?
 
Hivi karume alifufuka?
 
Kweli inawenzekana uvaaji ni problem vp kuhusu uchambuzi wa habari zao au ndo tuko busy kuangalia mavazi na fashion za suit?
 
Back
Top Bottom