Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Nimefuatilia kwa kina nibebaini kuwa waandishi wa habari wanapokutana na viongozi tena kwenye masuala ambayo ni very critical and controversial, huishia kuuliza maswali dhaifu mno. Sijafahamu hasa ni kwa nini lakini wanavyouliza ni kama vile hawajui nafasi na umuhimu wao katika jamii.
La msingi wajue tu kwamba "Karma" huwa hutoa majibu sahihi na huwa ni karma ni "directly proportional" na yale tuyafanyayo. Waandishi wa habari "Karma" itawatafuna kwa kushindwa kuwa critical na kuuliza maswali ya msingi pale inapostahili.