Someni vizuri kwani hapo Juu kabla ya kuandika hicho kichwa cha habari kuna maneno "saa tisa usiku kitandani mwangu" kwa ivo kilichoandikwa hapo ni kama mwandishi anaelezea alichoota ama kuwaza usiku wa manane!!
Na leo asubuhi sa 11 nimeisikia nyimbo ya roma Zimbabwe kwenye radio kubwa tu Tz. Nkabaki nacheka maana kama niliwaona mabosi wa TCRA muda ulee, sijui wameshapigwa baruaa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.