Huwezi jua labda ni Malecela kweli. Maana mbele vyeo nasikia Malecela yupo tayari kubadirika au kubadirishwa na kuwa vyovyote itakavyopendekezwa.Waandishi MAKANJANJA kama hawa nao wakamatwe waswekwe Rumande.
![]()
OooohHilo ni gazeti letu hamna wa kuligusa
Kosa si LA mwandishi..kuna mlolongo Wa watu mpaka gazeti likufikie...Wahariri walikua wapi?Waandishi MAKANJANJA kama hawa nao wakamatwe waswekwe Rumande.
![]()