Waandishi wa habari wangeacha kuripoti habari fulani mbona wangeheshimiwa tu, sema hawajatambua mchango wao kwa taifa
Tafuta habari inayohusu maji usome,hii inahusu kumgomea Lukuvi.Acheni uvivu,wabongo mkoje,mbona midebwedo sana?
Ndio kwa masaa 24,mkuu wa mkoa yeye kwa masaa 48.hivi mkuu wa wilaya anamamlaka ya kumuweka mtu ndani?
Mkuu angalia nae usiwe kama Sloth PoleHakuna cha mazingira wala nini.Kwanza uwepo wa DC au RC hauna maana kabisa.
Samahani ...eti na wewe ni Great Thinker au umekosea kujiungaUKAWA hii ishu mnataka kuidandia mchukuliepo ujiko. ha ha haaa.! UKAWA buanaa, roho mbaya zenu zitawaua. mtashangaa ishu itaisha na ITV wataendelea kuripoti habari za arumeru na huyo mkuu wa wilaya kama kawaida.
UKAWA tumieni nguvu nyingi kujipanga namna gani mtaingia madarakani, haya mengine mnapoteza muda tu bure.
hii ni ishu ya mwandishi wa ITV na mkuu wa wilaya, UKAWA fanyeni yenu. khaaa.! kila kitu mwadandia tuu utadhani hamna cha kufanya.
Hivi Katiba ipoje kwenye suala LA kuwekana ndani, wanasheria hembu tusaidieni wengine hatujui lolote khs sheria, maana naona siku hzi ukimzingua tu kiongozi au asipofurahishwa na mwenendo wako unawekwa ndani.......
Duuuuh,kwahiyo watu kuchangia kupinga ukandamizaji ndio wameshakuwa ukawa?Kumbe ukawa ndio tu watetezi wa haki?Hongera kwa kujua hiloUKAWA hii ishu mnataka kuidandia mchukuliepo ujiko. ha ha haaa.! UKAWA buanaa, roho mbaya zenu zitawaua. mtashangaa ishu itaisha na ITV wataendelea kuripoti habari za arumeru na huyo mkuu wa wilaya kama kawaida.
UKAWA tumieni nguvu nyingi kujipanga namna gani mtaingia madarakani, haya mengine mnapoteza muda tu bure.
hii ni ishu ya mwandishi wa ITV na mkuu wa wilaya, UKAWA fanyeni yenu. khaaa.! kila kitu mwadandia tuu utadhani hamna cha kufanya.