Waallahh Sirudii tena

Waallahh Sirudii tena

nafikiri wanaume wote ukiondoa wale wanaoliwa kabaaaang' ni Mabikira, japo kila siku gogo linapita...hahaaaa!:A S 576:

Ndo naipata kwako!!!
Nijuavyo mm bikra akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima some liquid nyekundu zimwagike au kuna maana nyingine!!!
 
poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......
kama ulivyosema ww ni mbulula kweli ila ulisahau kusema kwamba ww ni muongo pia!
1.mtoto mmoja anasoma udom/.....hii hatukatai inaweza kuwa kweli ha
2
akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi/..... uongo huu..... haujui hata kama vyuo vimefungwa na bado havjafungua
hongera kwa tamthiliya yako lakni
 
kakamatwa masikio likaburuzwa upeo wake ukaishia hapo.
 
poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......

Unasikitika nini? Uenda ulikuwa unanunua Ukimwi kwa 18,000. Piga nyeto mngoje mkeo otherwise utaishia kupata ngoma na tamaa tamaa za ajabu
 
poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......
Bora huyo chick alikutenda hivyo.
Wala usijisikie kuwa mburula au ----!
Mshukuru sana huyo chick kwa kukuepusha na hatari.
Wewe ni mume wa mtu uko kwenye ndoa halafu inakuwaje unaendekeza ukware/ukora banaaaa? Utamuua mwenzio bure. Halafu uliolea nini kama bado wataka viporo?
Kipende chako mkuu. Mpende mkeo. Wapende wanao. Ipende familia yako. Ukiendekeza viporo, then starehe ya muda mfupi yaweza kukuangamiza.
 
Waschana wote wangekuwa kam a huyu uzinzi ungepungua,namfagilia sana japo kakulia hela yako., pia ukiona hv jua mkeo anasali sana kwa ajili yako
 
Labda na wewe uking'amua masela wanajipigia mkeo na yeye ndo anawapa mshiko utajisikiaje?!
 
Ukiangalia upande wa pili wa shilingi,pengine Demu hakukupenda, coz angekupenda angekuja tu no matter what,...
 
Huko UDOM anasomea nini? kama ni undergraduate si chuo kimefungwa??

inawezekana demu alimdanganya mshikaji kuwa anasoma UDOM kumbe mlupo wa hapa town,hata hivyo "wajinga ndo waliwao"
 
Swala la kutuma nauli halafu mchumba haji ni wengi tu wamelia, ndio hivyo umejifunza. Wewe umeliwa pesa kidoga kuna watu tumeliwa nauli si mara moja na hata nauli za ndugu tulituma.

note:Demu kama kweli anataka aje mwambie atafute nauli yake utamrudishia, au akope pesa uko alipo akija utamlipia deni.

poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......
 
Ni vingi NDETIA hana
1. Hana financial skills, uliambiwa 18,000/= ukatoa 40,000/=
2. Hana maadili ya dini
3. Si mfano wa kuigwa kijamii kwa kuisaliti ndoa kisa mkewe youko mbali
4. Hafahamu mengi kuhusu technologia ya mawasiliano
5. wenegine wataongeza
 
sipati picha anavyokuponda akiwa na wenzake ....nimepata mshamba mshamba fb
 
poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......

Duh we inaonekana ulianza match kabla ya zoezi. Mpk ufike umri wa kuoa hujajua huo mtindo? Basi una vingi huvijui
 
Back
Top Bottom