Waallahh Sirudii tena

Kuna mtoto did the same to me! Siku akizama kwny line ntajifunza kula ndogo tena bla ky !...zake
 
duh...atakutafuta tena huyo..fanya kama vile hujaumia..endelea kulonga nae.. Siku akijichanganya tu kuja.. Njo hapa tukushauri umfanye nini.

yaan we mawazo yako yamekaa kichawi mpaka nimekuogopa hahaha
 
Mi mzima Mashaxizo ,Halafu umetulia siku mbili hizi nimekumisijee...
Hawa wanaume suruali wa siku hizi wana shida sana loh?Hivo vipesa mbuzi mtu unalialia....

Mie nipo!
...
Mwee! Badala ya kutoa pole uko, we ndio kwanza unatusimanga!
Hahahahahaaaa!
Jamaa asiwe na wasiwasi coz kama haujaibiwa huwezi kuwa Mjanja!
Na ukiibiwa sana poyeeeeeeee!
Ivi best ndio haujawai kuibiwa?
 
Mie nipo!
...
Mwee! Badala ya kutoa pole uko, we ndio kwanza unatusimanga!
Hahahahahaaaa!
Jamaa asiwe na wasiwasi coz kama haujaibiwa huwezi kuwa Mjanja!
Na ukiibiwa sana poyeeeeeeee!
Ivi best ndio haujawai kuibiwa?
Pole??Wakati amejitakia mwenyewe loh!!
 
Achana na watoto wa udom wewe apo ushamtoa menu ya wiki nzima kwa wajasi ng'ox na kama ni mtu wa kujirusha bas ni ful chako ni chako o maisha!!!
 

hahahahaha
NA BADO source G. GONDWE.
 
Chati weee lakini ikifikia point unatakiwa utume hela ni vizuri ukakata mawasialiano fasta.
 
Mhh nimesurrenda "mikono juuuuu!" big lesson !! Jameenii basi tena..
 
Hahaa hahaa we mburulaa kweli kweli..wenzako wanamwambia aje alafu ndio wanawarudishia nauri sio umtumie bhana..ahaa wewe nawe!!!
 

Simple. Wapigie mtandao huduma kwa wateja, waambie huyo ni mfanyakazi wenu hukujua ka keshalipwa hivyo ukamtumia tena hela nyingine. Waombe wakurudishie.
Kwisha habari yake, siku akija kutumiwa hela tu, inakuja kwako, labda asitumiwe maisha.
Nshawafanyia wengi tu izo.
 
hujui Mungu amekuepusha na nini, hiyo 40,000 ingeweza kukugharimu maisha yako
 
bora karamba buku 40 kuliko ungelalamika kakupa HIV/AIDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…