Waalimu wapya walala ukumbi wa halimashauri kigoma

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Waalimu ajira mpya waliamua kulala ukumbi wa halimashauri jana tr 3/2/2012,baada ya kuona mambo hayaeleweki,hawajapewa pesa za kujikim,leo mkurugenzi ameewambia hawana pesa,hivo waende vituon,wamesambazwa vituon,bila chochote,wototo wakike sijui wanaishije,kwanin wanasiasa ni waongo,nakumbuka N/W mh Kassimu Majaliwa katika kipindi cha dk 45 ITV,Alisema fedha zote zimeshasambazwa ktk halimashauri,iweje sasa mpaka leo hawajapewa chao
 
Dogo,amepangwa Biharamulo,Kagera.Kaniambia hawajawapa pesa lakini wanawalipia klila kitu,malazi,chakula nk

kwa nini kigoma iwe hivyo?,ngoja nimtafute nimuulize wamefikia wapi issue ya pesa ya kujikimu
 
Wabunge wetu hata hili hawajaliona ila la kujiongezea posho wameliona pasipo hata kujali
watanzania kweli tuna kazi
 
Back
Top Bottom