Waalimu wapya tunapostiwa lini?

Waalimu wapya tunapostiwa lini?

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Jamani tumesibiri hadi basi. Nani anajua ni lini wizara itatoa posting za waalimu wapya?
 
Tetesi nilizozipata kutoka kwa Afisa mmoja huko Wizarani zinalonga kuwa Posts zitatoka tarehe 25 wiki ijayo. Kaa mkao wa kula ndugu!
 
Wangetoa mapema ili tuanze kujiandaa.
 
mnapostiwa mijini ila Posho ya mazingira magumu ina rejeshwa kwa mikoa migumu tuu
 
post tunazililia ila tukishazipata tunapanga mikakati ya kugoma...jamani tukipata tufanye kazi kweli..
hope ziko njiani
 
Sasa si heri watangaze mtu ajue anaenda wapi ili ajue kama ataweza au aende zake praivet.
 
Post ziko tayari.tatizo hazina hakuna pesa ndugu.subiri wakusanye ndo watadisplay post ujue umepangwa wapi.yaweza kuwa hata baada ya bajet 2013/14.hazina imefulia.
 
Back
Top Bottom