Waalimu waliosoma arts!

Waalimu waliosoma arts!

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,283
Reaction score
13,720
Waalimu waliosoma Arts wanaonekana wana Bahati mbaya they are real against the Odds Serikali Kupitia TAMISEMI imesema Katika ajira za Waalimu idadi itajumuisha Wahudumu wa maabara ( Laboratory Technicians) ambapo sasa Ukijumulisha na waalimu wa Science ambao ni Kipaombele cha Taifa kwani tunataka Tuifikie China Kiteknolojia.

Walimu hawa sasa hakuna afadhali kwao kwani kila tamko linalotoka wao linakua haliwabebi . Serikali inasema pia kuwa inasikitika sana na Watanzania wengi kupenda vitu rahisi rahisi kwani taangu serikali itamke kuwa Sayansi ndiyo kipaombele cha taifa watu wameendelea kusoma Sanaa tu na Kumekua na ongezeko kubwa la walimu wa arts wanaohitimu ambapo taifa haliwezi Kumudu kuwaajiri.
 
Mi nahisi hata waalimu wa sayansi mwakani hawatapata ajira kabisaa.!!!!!!
Madokta pia 2018 watakuwa wametosha.
ahaahaahaah
 
Jaman tupeane taarifa walimmu Wa masomo ya Sana'a tutaajiriwa kweli au ndo hivyo tena
 
Ajira lazima zitoke! alafu kwatetesi niliyopata kutoka chanzo changu cha uhakika, January tu mambo yatakuwa poa
 
tatizo co watu kupenda kusoma art ila ni mfumo wa elimu ya tz. utafaulu vp science wkt hakuna maabara.vitabu na walimu??????????
 
Bora mie wa shule ya msingi hakuna mbwembwe za sayansi wala wasanii ni mwendo wa a e i o u!😎
 
tumeshaajiliwa tunakula mshahara teh! teh! teh! kusoma raha japo tupo kijijini
 
Back
Top Bottom