Ni kwei mkuu hawa walimu wa siku hizi ni vilaza sana ndo maana watoto wetu wamekua waeledi sana kwa sababu tunawafundisha wenyewe nyumbaniAcha ukilaza wewe mwalimu kwahiyo mtu akikukosoa anakuwa interested na mapenzi. Au wewe ukimkosoa mwanafunzi wako tuseme unamtaka kimapenzi.
Kama ni hivyo itakuwa tatizo ni kubwa zaidi ya ninavyolijua.
Kubali kukosolewa halafu jitathmini kama una tatizo jirekebisheni sio kubwabwaja nonsense!!!!
The one who care about positives can't write fucking stupidity post publicly and trying to expect good replies from mentally well being people.The ones who support u are the ones who complete the sequence of negatives plus u.Expect negatives lad otherwise just behave the same way.Really idiotic comment,come again with something positive may be you can be understood
No point there come with arguments
Mtu mwenyewe umejiunga JF january 22 hata nusu mwaka bd hujamalza unakuja kutoa ukoko humu. wenzako wanatuliaga kwanza kusoma upepo na kuangalia watu wanaoshusha mada kwa Logic na evidence. We unakuja kutapika mapera humu. No wonder post 200 like 70
No point there come with arguments
Mkuu hapana bwana huyu mtu amesema kwenye matumizi yake ni mishahara ya mwalimu ya miezi 12 so utakua una chuki binafsi nae hii sio profile yake
Mtu mwenyewe umejiunga JF january 22 hata nusu mwaka bd hujamalza unakuja kutoa ukoko humu. wenzako wanatuliaga kwanza kusoma upepo na kuangalia watu wanaoshusha mada kwa Logic na evidence. We unakuja kutapika mapera humu. No wonder post 200 like 70
Yaan mkuu sijakuelewa hata kdg, profile si hio inajieleza na thread yake kuhusu km analalamikia ajira si ipo hapo inajieleza. usimtetee mkuu, utaanza kunipa mashakaMkuu hapana bwana huyu mtu amesema kwenye matumizi yake ni mishahara ya mwalimu ya miezi 12 so utakua una chuki binafsi nae hii sio profile yake
Mzee wewe huna lolote, n mhanga wa walimu wasio na ajira, tafta kazi tuu JF hawana suruhisho la matatzo yakoo ya chuki, nyie ndo mnaofundisha wanafunzi kujitoa mhangaUnaishi kwa kukariri that's why
Background hata nzi anayo bado sio kigezo. What matters ni uwezo wa kuibua hoja na kuisimamia
Kwa utaratibu huu nimegundua ninyi wenyewe ndio adui wa maisha yenu wenyewe
Kiswahili unaelewa vizuri sana ndo mana ukakitumia kuandikia post mwalimu, kafundishe hata bureeContinue wasting your time by searching nonsense !!!
I know you have come to the end of your thinking scope
Heshima toa! Shikamoo mwalim? Unamaanisha walimu hawa wanaoheshimika? 1. Swala LA majungu kazini kama wewe so mwalimu huo pia ni wivu na kama ni mke wa mwalimu huo pia ni umbea. 2. Kuhusu kutumia pesa zao kwa kula na kuvaa huo pia ni wivu.3 Kuhusu kudharau wanakijiji hilo ni tatizo LA mwalimu binafsi na si wote ni kosa kutaja walimu wote ingekuwa hivyo kijiji ingekuwa vita ni vita mura baina ya wanakijiji na walimu
Kula tano mzee wa fitina, kweli fitina unaijua
Heshima toa! Shikamoo mwalim? Unamaanisha walimu hawa wanaoheshimika? 1. Swala LA majungu kazini kama wewe so mwalimu huo pia ni wivu na kama ni mke wa mwalimu huo pia ni umbea. 2. Kuhusu kutumia pesa zao kwa kula na kuvaa huo pia ni wivu.3 Kuhusu kudharau wanakijiji hilo ni tatizo LA mwalimu binafsi na si wote ni kosa kutaja walimu wote ingekuwa hivyo kijiji ingekuwa vita ni vita mura baina ya wanakijiji na walimu
Tusipovaa tukapendeza utakuja na uzi mwingine kuwa walimu siyo nadhifu na hawaendani na taaluma yao.Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
Hahaha itakuwa kweli! Atafute mbinu mpya.Mtoa post povu limekutoka utakuwa kuna mwalimu umemtongoza kakukatalia
. achakuwadharau walimu. Kitendo cha kuwadharau walimu hakijawahi kumuacha mtu salama
Acha dharau 'kolo'wewee!Mkuu mimi sijawahi kufikiri kumtongoza mwalimu au ningetaka ningeisha fanya maana zipo njia nyingi za kumpata mwalimu kutokana kuwa wengi wao wana maisha magumu hatari
Kwa kifupi sina mahali naweza kutana na mwalimu maana ninapoweza kwenda kubarizi mwalimu hana uwezo wa kufika labda ajichange mwaka mzima.
Sanasana tunaonana wakifika niwakopeshe sukari 'unga na chumvi au nauli wakafuate mshahara vinginevyo kutokana na tabia zao sio wote sinaga mzuka nao
Viwanda vya bibi yako?Hizi empty heads zitatufikisha kwenye Tz ya viwanda kweli