Waalimu mnakera sana!

Asante sana, umenisaidia kumjibu huyu kilaza!
 
Ubaya wenu wananzengo mnapenda sana kusujudiwa, mnawapiga sana majungu walimu na walimu nao wakizinyaka wanaanza kuwaona maboya tu. Kazi ya kulea mitoto iliyoshindikana majumbani mwenu ni ngumu sana. Na alaaniwe asiyemuheshimu mwalimu.
 
Mtoa mada ni mpuuzi,kama wapuuzi wengine.Yafaa apuuzwe.Tabia ulizoeleza ziko kwa mwanadamu yeyote,bila kujali kazi yake. Waache walimu wetu,kumwaga hasira zako juu yao hakukusaidii kitu,bali kunaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiria.

Pole ticha,jiwe la gizani baya sana lazima uje mwenyewe kwenye mwanga kuangalia jeraha
 
Naskia anafundshaga somo la stadi za kazi
Analetewa mayai na mamboga eti nayo stadi kazi.

Mwalimu joseverest ya kweli haya?
 
Huna hela wewe kaa kimya,sehem unazokaa ni kwenye moto mpaka hao waalimu wasiweze,maskini mna shida saana
 
Mkuu umenena kweli tupu hasa,na Mungu akikujaalia ukipata watoto bora uwafundishe mwenyewe nyumbani kwako kuliko kuwapeleka shule wakakutana na "walimu wa sasa"
 
Mkuu acha kuwaongezea stress mara mishahara midogo, mazngra magumu ya kazi zao, bado hawajapandishwa madaraja +vyeti feki naww unakuja na Style zao
 
Kwa hili povu,sina shaka umekataliwa na binti mwalimu.

Ila pole ndug yangu huo ndio uanaume.

Kama ungekuwa na maisha mazuri kuliko walimu hili povu lisingekutoka manana ungepotezea. Ila kwa sababu unashinda hapo kijiweni kijijini kwenu unawatamani wadada wa viwango hapo kijijini kwenu ila huwapati kwa sababu pesa huna thats Why unaishia kinyongo.

Kuja kuwashtaki hapa jamii forums hakutotatua matatizo yako kamwe.

Tafuta kazi ufanye kijana, acha majungu na umbeae mtoto wa kiume.
 
Huenda sijui kusoma,ama mi mgumu kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…