HTC One ndio simu iliyoongoza mwaka jana kwa ubora na sasa hivi nafasi yake inaelekea kuchukuliwa na HTC M8 kwa mfano:
1. kumi bora za Tech Radar zinaonyesha HTC M8 ya kwanza na Galaxy S5 ya pili
2. Kumi Bora za Tech Link ya kwanza ni HTC One M8
3. Stuff TV wameiweka HTC One M8 ya kwanza
4. Trusted Reviews HTC One M8 ya kwanza
5. Expert Reviews wameweka HTC One M8 ya pili (Ya kwanza ni galaxy S5)
Baadhi ya Sifa nzuri za HTC One na HTC One M8:
a. Strong Build Quality, tofauti na Samsung ambazo huwa ni za Plastiki.
b. Kamera yake ni inatoa nzuri ingawa wengi wanaona kuwa na 4 Utra pixels haitosho
c. HTC One Sense ni nzuri kuliko koti la Samsung
d. Ina specs za nguvu (ingawa hili ni kwa kila flagship smartphone)
e. Kuna toleo na Stock Android (Samsung huwa hawatoi stock android verisons)
Mabaya ya HTC One
a. Haina Expandable Storage (HTC One M8 inayo)
b. Ina Unibody kwa hiyo kubadili betir na kutengeneza ni kimbembe
c. 2300 mAh battery haitoshi, anything chini ya 2500 mAh Battery kwa simu yenye screen karibu na 5" yenye resolution za 1080p basi battery hiyo ni bado, kwa mfano Samsung kwenye S5 wameweka 2800 mAh na kwenye Note 3 wameweka 3200 mAh (kwa vile hii ina screen kubwa zaidi)
Kama unataka kununua simu hiyo go for it kaka, it is a quality phone mradi iwe imekonga moyo wake. Sasa hivi HTC One M8 iko kwenye promotion kwa hiyo ni bei rahisi kuliko HTC One ya mwaka jana, mfano Three UK wanauza HTC One £569 na HTC One M8 ni £460.
Binafsi napendelea kutumia Samsung glaaxy S5, sio kwa sababu ni nzuri sana kuliko HTC One M8 bali kwa sababu ina Smart watch nzuri (Galaxy Fit hasa ndio ninayoizungumzia hapa). hivyo ndio kusema kama sio smart watch ningekuwa natumia HTC One M8 sasa hivi kwa sababu ya form factor na kuchukia kwangu kwa baadhi ya features za Touch Wiz. Kilichonifurahisha safari hii Touch Wiz i imepunguzwa mambo na kufanywa optional. Na suala la kasi kupungua kwa sababu ya Touch Wiz inaonekana kutokuwa issue kwenye S5 kama ilivyokuwa kwenye S4, Note 3 na Galaxy nyingine za mwaka jana.