Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Umeona eh! Very shallow thinking ya mtoa mada! very very shallow!
 

Sasa overpupolation huwa inatokeaje? Mnaweza kuwa na ardhi kubwa na mkawa mko overpopulated, inategemea na mnavyoitumia. Kwa mfano, mji wa Dar es salaam uko overpopulated, unadhani ni kwa nini? Na usitukane tena!
 
Ndio tatizo la kukaza ubongo, mi naongelea Africa we unaongelea Rwanda, ok kwa akili hizo hizo ulizotumia, siku pakiwa na mechi uwanja wataifa basi tunaita Africa ina over population kisa pale uwanja watafa ni watu 10 per square meter? Bogus
 
Sasa overpupolation huwa inatokeaje? Mnaweza kuwa na ardhi kubwa na mkawa mko overpopulated, inategemea na mnavyoitumia. Kwa mfano, mji wa Dar es salaam uko overpopulated, unadhani ni kwa nini? Na usitukane tena!
Wewe umeshaeleza jinsi overpopulation inavyotokea kwa hiyo definition uliyoweka na hiyo definition yako ni sahihi, lakini Africa haina overpopulation. Halafu usipende kuwa rigid, legeza ubongo, mtu anaongelea oveepopulation Africa wewe unaanza kusema Dar es salaam, kwahiyo kwa akili hizo hizo ulizotumia, siku pakiwa na mechi uwanja wa taifa na pakawa overpopulated (10 people per square meter) utasema Africa in overpopulation kisa uwanja wa taifa una overpopulation? Nazidi kupata shaka na utimamu wako.
 
Nilimkubali Sana magu alipoongea wazi kuhusu kuzaa na kuwa na watoto wengi unapokuwa na uwezo.

Tatizo letu tumekaririshwa kuwa ukiwa na watoto wachache ndio unakuwa na maisha mazuri.
Sijawahi kuona tajiri sababu ya kuwa na watoto wachache.!!

Unaridhika tu na tuhela twa kutosha kusomesha hao watoto na ndio mnaishia hapo.
Na kagari ka kutembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tatizo la kukaza ubongo, mi naongelea Africa we unaongelea Rwanda, ok kwa akili hizo hizo ulizotumia, siku pakiwa na mechi uwanja wataifa basi tunaita Africa ina over population kisa pale uwanja watafa ni wa 10 per square meter? Bogus
You are stupid! Angalia waivyokushambulia na akili fupi.You do not look an issue like that at a large scale. Maumivu ni ya individual countries kupambana na poln density nchni mwao. Hukujibu data niliyokupa, umekimbilia kutukana! Stupid burger!
 
Leta data, usileta hadidhi za kitchen party!
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?
Hilo li La don ni takataka tupu! Maswali yako ni ya msingi. Kwanini wasitumie coca cola wakatumaliza mpaka wajitangaze na change za kile na kile! Madawa yote yanatoka kwao... kama wangelikuwa na ajenda hiyo viwanda vya madawa wasingelipeleke India na china. wangelitengeneza wao wakaweka ingredients ka kutumaliza vizuri! Kuna hoja za mfu humu usiombe!
 
You are stupid! Angalia waivyokushambulia na akili fupi.You do not look an issue like that at a large scale. Maumivu ni ya individual countries kupambana na poln density nchni mwao. Hukujibu data niliyokupa, umekimbilia kutukana! Stupid burger!
1.) Onyesha how am i stupid?
2.) Mimi najadili na wewe, hao walionishambulia acha niwajibu kwa nafasi yao, wewe jadili na mimi.
3.) Unaposema maumivi ni ya individual countries unataka kusema nini sasa, kwamba overpopulation ya Africa inaangaliwa na micro locations zilizomo ndani yake? That is really stupid, objectively stupid! Over population ya Africa ni idadi ya watu per overall area, which comes to an extremely low population density!

Otherwise turudi to you stupid way of thinking, kwamba tutakapocheza mechi na Uganga na uwanja kuwa overpopulated basi Africa inakuwa over poulated automatically, yes, thats what you are implying, usilete double standards kwenye arguement zako, be consistent.
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?

acha nikurudishe kwenye topic za form two/three kwenye somo la history.

anachotaka mzungu ni total control ya resources zote za africa.

africa ndio bara pekee lenye natural resources nyingi sana chini ya ardhi. lakini pia ndio bara ambalo chochote utakacho otesha juu ya ardhi yake lazime kichipue na kistawi,hapa namaisha mbegu za mazao yote ya chakula na mazao ya kibiashara.

na kukusaidia tu, hata hiyo hewa unayovuta bure, mzungu angekuwa na uwezo angeimiliki yeye halafu angekutengezea utaratibu wenye masharti mengi magumu ili uivute.

hii dunia acheni tu... ina wenyewe. soma article mbalimbali zinazozungumzia kikundi kidogo chenye nguvu cha familia 13 zenye udugu wa damu kinachoimiliki dunia( 13 illuminati bloodline families that control/own the world)
 
Mara nyingi matatizo yetu huwa hatuyakubali na hatupendi kuyazungumzia ki ukweli kabisa .......Nakupeni mfano hivi mnajua kama mpaka sasa hatujiwezi kiasi cha kushindwa hata kununua chanjo tunazotumia wenyewe yaaani sehemu kubwa hatuwezi kujiendesha ....kama mnafikiri wako kwa ajiri ya kutuangamiza tuachaneni na misaada yao kama tuko serious kweli .....ukweli ni kwamba sisi huwa hatuwajibiki na majukumu yetu ukitaka kuamini pewa kazi ya kusimamia wafanyakazi wa kiafrika yaani utachoka a lot of excuse na tunaangalia sana upigaji kila sehemu ,,,,,,,Leo hii uko kwenye malaria endemic zone eti referal hospital inafikia kipindi haina dawa za malaria ,,,,,na hapo tulaumu eti wazungu ,,,,,kwa nn sisi tusijitume ili tuwe tishio kwao.Yaani wazungu watafute njia ndeeefu kukuangamiza wewe wanaekulisha na kukulea tangu na kabla ya Uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikite kwenye mada twende sawa.
 
Overpopulation maumivu yake ni at individual level! Unapokuwa na kiwanja cha 15x15 huwezi kusema all my neighbours are feeling the same pinch as yours! Wewe mwenye ka kiwanja kadogo pinch ni ya kwako peke yako! Wengine wanatanua na viwanja vyao. Tunaangalia individual country... first . hayo ya spill over effects ni baadaye

Akili fupi, wanashidwa kuweka kwenye Coca cola ambayo inanywewa Africa nzima, dawa zote zinatoka kwao, wanashindwaje kuweka humo kwenye hizo tablets... nguo, etc

Jiulize weusi mkipungua wanapata hasara au faida gani. Inabidi muongezeke wapate soko la bidhaa zao, kwanini wawapunguze?
 
Du nyie jitieni ujinga mbona hamsemi kama hao hao wazungu wanawakata magovi yenu na kuzuia msikate antena za dada zenu?????

Nyie ni soko lao sasa wakiwaua watauza wapi bidhaa zao kwa sasa kama MB na kubet. Acheni ushamba wenu kafanyeni kazi, mnazuiliwa msizae sababu mnashindwa kulea watoto wenu na kubebesha lawama kwa serikali.
Hoja yako ina ukweli....JPM pia hajakosea katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafanikiwa vipi ikiwa idadi ya wanaokufa ni ndogo ukilinganisha na wanaozaliwa?! Ina maana wanachofanya its just a waste of time. Angalia data zako uzazi wa mpango umeanza lini na wakati huo population ya Afrika ilikuaje na leo hii ipo vipi. Unahisi huo uzazi wa mpango umefanikiwa ikiwa idadi ya watu inazidi kuongezeka mara dufu?! Mzungu akitaka kupora rasimali za Afrika hatumii njia ndefu hivyo kama mnavyotaka kutuaminisha.


Anyway swali la mwisho. Je ni sahihi kuzaa watoto kumi na unaweza kuwahudumia wawili? Kisa tu uzazi wa mpango umekuwa introduced na wazungu?!
 
Hata hapa wameshaanza kazi yao, kwa kuwatumia baadhi ya watu wenye tamaa za madaraka kuhadaa watu nia ikiwa ni kumaliza amani yetu tuliyokuwa nayo kwa miongo kadhaa, mmoja wao yupo huko ulaya kwa mafunzo zaidi ya kuja kututeketeza.
 
Kwahiyo mleta mada wewe unaona solution ya matatizo yanayotukablili hapa Afrika (kama vile njaa, ujinga, maradhi, ukosefu wa ajira, vita vya wenyewe kwa wenyewe, uroho wa madaraka, wizi wa mali za uma, rushwa, foleni, miundombinu mibovu, ukosefu wa maji safi na salama n.k) ni kuzaliana ili tuwe wengi zaidi kwavile sasa tuko wachache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…