Waafrika wanamgombania Obama sasa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama, moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.

Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs 80 rest of the World, kama ulikuwa unatafuta sababu umeipata sasa, ...
 
Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.

Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!

Elimu ya kukariri imeharibu sana akili za watanzania, toka kukariri majuzuhu bila kujuwa unakariri nini hasara yake ndiyo hii. Hapa Tanzania Obama alikuja tu kupumzika na hakutaka watu wajuwe hivyo, kule Kenya alikutana na Uhuru na kumsihi wasuluhishe matatizo yao ya ukabila. Of course as we all know it (kwa sie tuliosoma) kuwa dada yake alimlalamikia sana kaka yake juu ya ubaguzi unaofanywa na wakikuyu na Kalenjin towards kabila la wajaluo (kina Obama). Wakenya will never respect and elect a Jaluo to lead them simply because they are not circumcised na wana usemi usemao "mtu mzima" (mtu asiye tahiriwa) hawezi kuongoza watu wenye akili timamu ndio maana wajaluo hawaheshimiwi.
 
Japo dah kuna kauwalakini, ngumu kumeza, a former POTUS mwenye hadhi ya Obama aingie kutalii nchi yako bila courtesy call ikulu kukutana na mkulu walau dakika 30.
kadoda11 kwenye uzi mwengine alisema walijadili biashara japo kimya kimya......hehehehe
 
Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.

Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Obama angekutana na "Sijaribiwi" ndiyo angefanya nini sasa?
 
Ikulu ilikua inajua taarifa ya uwepo wake ndio Maana Rais amemtumia zawadi ya Picha.
 
Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.

Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Hapo sasa ndo ushangae, mtu amekuja kutalii, ila mpaka waziri wetu anamfuata airport, naona kama kuingilia privacy za mtu maana hakuja kiserikali yule
 
Tunapoteza muda mwingi kujadili mambo yasiyo na maana, huko Bongo sasa ishu ni Obama moto unawaka wanajadili kwa nini Obama ambaye alitua Mbugani kutalii hakukutana na Raisi wetu, kana kwamba hilo ni jambo muhimu sana kuliko yote.

Wanashindwa kutofautisha safari ya kikazi ya Obama nchini Kenya na ile ya holiday Serengeti, by the way average IQ kwetu sub saharan Afrika ni 71 vs rest of the World 80!
Hiyo ni kasumba ya inferiority complex; lakini niligundua licha ya kunena kwako, wewe ni mmoja ya baadhi ya watu ambao wamethiriwa na hiyo kasumba.
 
Obama angekutana na "Sijaribiwi" ndiyo angefanya nini sasa?

Hilo swali labda ungewauliza hao waliotaka Raisi wetu akutane Obama, mtu ambaye alikuja likizo na wala hata TZ yetu haikupo kwenye official schedule yake!
 
Japo dah kuna kauwalakini, ngumu kumeza, a former POTUS mwenye hadhi ya Obama aingie kutalii nchi yako bila courtesy call ikulu kukutana na mkulu walau dakika 30.
kadoda11 kwenye uzi mwengine alisema walijadili biashara japo kimya kimya......hehehehe

Ulimuona Balozi wa USA TZ kwenda kumpokea Obama hapa TZ?
 
Wangekutana kingebadilika nini

Hapo sasa, hata mimi nashindwa kuelewa, isitoshe Obama amekwenda kutalii TZ bila ya kualikwa na mtu yoyote yule, ni yeye mwenyewe kaamua hivyo hata siku nyingine ataamua pia kuja tena kama alipendezwa napo, na haijalishi kama Raisi angeenda au la!
 
Balozi hawezi kumpokea maana haikua official visit.
Lakini nimetumia neno 'courtesy call', soma maana ya 'courtesy call in diplomacy'.

Waziri wetu wa Mambo ya nje alikwenda, sasa kama hiyo kwako haitoshi siwezi kukusaidia hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom