Waafrika Tusiache Tamaduni Zetu Jamani.

Waafrika Tusiache Tamaduni Zetu Jamani.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
images
 
Sawa ni utamaduni wetu, hata kukeketa wasichana ulikuwa ni utamaduni wetu, na tunapambana nao vilivyo.
 
Sawa ni utamaduni wetu, hata kukeketa wasichana ulikuwa ni utamaduni wetu, na tunapambana nao vilivyo.

Kuna tamaduni nyingine sio za kuziacha kiongozi. Zina utamu wake aisee.
 
Back
Top Bottom