Last born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na juu kapiga msouth...............Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
Uchawi huanzia mdomoni, huenda Hadi moyoni na kutokea machoniLast born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na just kapiga msouth...............
Heeeeeee.........Cha ajabu watu wameshaanza kusema dogo anaringa kisa kajenga......yaani dogo asimwambie my fala wewe........kosa kubwa sana.......
Africa tuna safari ndefu.
Nimesha anzaAnza sasa hivi basi
Last born wetu anafanya kazi kwenye hizi microfinance. He is 28yrs old, Ana miaka mitatu took aajiriwe amejitahidi amepandisha self ya rum tatu za kulala,jiko,stoo nk......na juu kapiga msouth...............
Heeeeeee.........Cha ajabu watu wameshaanza kusema dogo anaringa kisa kajenga......yaani dogo asimwambie mtu fala wewe........kosa kubwa sana.......
Africa tuna safari ndefu.
Kwl mkuu,,,Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
KikoloNaye watamroga ili msielewane, muachane, arudi kwanza mke mzungu anajidai, eti hajui hata kupika makande, si dharau hizi...... Huyu tutanunua Hadi ng'ombe atolewe kafara, acha watoto wàsiende shule kwa kukosa ada lakini ndoa na mzungu isambaratike na ufilisike
Jwani ugwe?
Hahahahha...Unarogwa hadi na mlinzi
😅Hahahahha...
Kwa hiyo walinzi nao wanaloga? Basi maboss nao wana kinga ya uchawi.
Nimecheka sana
Ili apendwe na boss na asije ajiri mwingineHahahahha...
Kwa hiyo walinzi nao wanaloga? Basi maboss nao wana kinga ya uchawi.
Nimecheka sana
Hahah ..Ili apendwe na boss na asije ajiri mwingine
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Shughuli kweli kweliHahah ..
Shughuli nzito sana hii,kila kitengo ndumba ni muhimu watu wapate mikate
ushirikina na uchawi ni jambo lenye mizizi ya kihistoria kwa watz wa kada zote kuanzia wasomi, wasio wasomi, matajiri kwa masikini.Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida
Usiseme kwenye ukoo au mama mkwe sema hata Baba na mama yako wanaweza kukuroga vile vile na hauwezi kujua kwasababu ni wazazi ngumu kugundua hiloWaafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa sana. Shuleni unarogwa, mama mkwe naye anakuroga ili awe kiranja mkuu wa familia yako, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni shida