Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
Kuna hili jambo ambalo limekuwa linanisumbua kila mara:
Nimekuwa nikiwaza sana na mwisho nikafikia hitimisho kwamba Mungu aliwapendelea WAZUNGU sana, akawapa AKILI NYINGI wao, na uwezo wa kufikiri MKUBWA NA MPANA, KULIKO SISI WAAFRIKA, ndio maana wamefika huko waliko kimaendeleo na mfumo wa maisha kijumla!
Hata tukilaumu kwamba walitununua kama bidhaa enzi za biashara ya utumwa, bado hoja hiyo haifuti hoja ya msingi kwamba wana AKILI nyingi zaidi, maana walinunua watumwa baada ya kugundua kwamba KAZI zimewazidi, na wanahitaji wafanyakazi zaidi kwenye mashamba na viwanda!
Mbona sisi hatukuwa wa kwanza kuwachukua wao kama watumwa, na kuwaleta huku Africa? Tulikuwa wapi? - basi mimi nasema , ni kwasababu tuna akili kidogo , au akili yetu IMEPELEA, kulinganisha na wao.
Nawasilisha, nikiomba mitizamo yenu.
Sasa Bongolander, ubovu wa system ya huku, si ndo yote imejumuishwa na kuonekana kwamba tuna upungufu wa Bongo Kidogo?
Nina uhakika hata wewe ungepewa nafasi ya u`kigogo usingefanya tofauti sana na waliopo sasa, coz, like father like son!
Au unasemaje mzee?
Kupromote kwa vipi broda?Average IQ ya wa tz ni ndogo ila sio individual IQs
Kuna watz wana akili sana and they are exceptional
Solution ya hili tatizo la average IQ ni ku promote interbreeding ya jamii mbali mbali.Nature will sort itself out and bring balance
Kupromote kwa vipi broda?
Tanzania ni moja ya nchi zenye freedom ya interbreeding ya uhakika kabisa duniani, unlike nchi zingine ambazo kuna restriction za ukabila etc!
Wachina walipokuja kujenga reli ya uhuru miaka ya 72 huko walizaa sana sehemu zote ilimopita reli hiyo.Ukienda maeneo ya Makambako, Pwani na Morogoro unakutana na wababa kibao wenye rangi ya kichina, lakini ni mazuzu tu!
Vivyo hivyo naamini huko kwenye migodi yetu kuna wanawake kibao wanaopewa watoto na wazungu, je hii interbreeding bado haitoshi?
Wale Maprofesa wetu wanaobaka, kuwa'Kapuya na kugawa mimba huko mitaani, bado hawahamishi genes za akili zikaleta kauwiano japo kadogo na sisi tukapaa kuanzia enzi hizo?
Labda ufafanue vema hoja yako mkubwa!
Akili ya mzungu na mwafrica zipo sawa ila tatizo tunazitumiaje hizo akili ? Wakati wazungu wakitumia muda mwingi kufanya tafiti mbalimbali ili kuifanya dunia iwe sehem bora zaid kuishi huku mwafrica ye Yuko busy na ngono na srarehe
Sasa ndio umeandika nini? Kama uwezo wa kufikiri uko sawa kwa nini huyu awaze ngono na mwingine awaze Kujisomea?
Kuna hili jambo ambalo limekuwa linanisumbua kila mara:
Nimekuwa nikiwaza sana na mwisho nikafikia hitimisho kwamba Mungu aliwapendelea WAZUNGU sana, akawapa AKILI NYINGI wao, na uwezo wa kufikiri MKUBWA NA MPANA, KULIKO SISI WAAFRIKA, ndio maana wamefika huko waliko kimaendeleo na mfumo wa maisha kijumla!
Hata tukilaumu kwamba walitununua kama bidhaa enzi za biashara ya utumwa, bado hoja hiyo haifuti hoja ya msingi kwamba wana AKILI nyingi zaidi, maana walinunua watumwa baada ya kugundua kwamba KAZI zimewazidi, na wanahitaji wafanyakazi zaidi kwenye mashamba na viwanda!
Mbona sisi hatukuwa wa kwanza kuwachukua wao kama watumwa, na kuwaleta huku Africa? Tulikuwa wapi? - basi mimi nasema , ni kwasababu tuna akili kidogo , au akili yetu IMEPELEA, kulinganisha na wao.
Nawasilisha, nikiomba mitizamo yenu.
mkuu tatizo cyo akili tatizo ni matumiz ina maana km mwafrica akitumia muda mwingi kufanya tafiti anaweza kugundua vitu vya maana
Na hata bara arabu mkuu?Wakubwa matatizo makubwa tuliyonayo Waafrika ukilinganisha na wenzetu ni uvivu wa kujisomea na waliosoma wanavijua walivyosomea tu, kumbukeni kunatofauti ya usomi na kujisomea.
Kuna hili jambo ambalo limekuwa linanisumbua kila mara:
Nimekuwa nikiwaza sana na mwisho nikafikia hitimisho kwamba Mungu aliwapendelea WAZUNGU sana, akawapa AKILI NYINGI wao, na uwezo wa kufikiri MKUBWA NA MPANA, KULIKO SISI WAAFRIKA, ndio maana wamefika huko waliko kimaendeleo na mfumo wa maisha kijumla!
Hata tukilaumu kwamba walitununua kama bidhaa enzi za biashara ya utumwa, bado hoja hiyo haifuti hoja ya msingi kwamba wana AKILI nyingi zaidi, maana walinunua watumwa baada ya kugundua kwamba KAZI zimewazidi, na wanahitaji wafanyakazi zaidi kwenye mashamba na viwanda!
Mbona sisi hatukuwa wa kwanza kuwachukua wao kama watumwa, na kuwaleta huku Africa? Tulikuwa wapi? - basi mimi nasema , ni kwasababu tuna akili kidogo , au akili yetu IMEPELEA, kulinganisha na wao.
Nawasilisha, nikiomba mitizamo yenu.
Kama waling'oa koki basi kumbe wana akili, maana hata hao wazungu wakifika hapa tz siku za mwanzo tu huaga wanang'oa dhahabu, almasi, faru, kahawa, n.k. kwa mikataba feki ilioanza tangia enzi za akina Kimweri.