Sasa nakubaliana na hoja ya kutotumia akili tulizonazo, ni changamoto kubwa kwa waafrika wengi japo wachache wanafanya hivyo.Hata kama tuna akili sawa lakini fact is wao wame tumia zao kuliko sisi. Kuwa na ubongo na kuto utumia hauona faida yoyote. That's what separates a "could be" and a "already is". It's time we lived up to our potential badala ya kujiona "sleeping giants" kila siku. We need to wake up from our slumber.
Nimekukubali Bongolander, wewe unatafakarinami. Huo ndio ukweli yani uliobaada ya ukweli kabisa.Ukitaka uone kama nyani ngabu ana akili au hana akili mpeleke US, atahaha miaka miwili mitatu ataji-adjust ku-survive na ku-thrive. Ukitaka kuona hana akili mlete bongo, sababu unazijua. Ambako systems zimevurugwa na kuoza, ambako profesa hana maana lakini wababaishaji wanamaana kweli, ambako mwalimu na dakati ni kama ombaomba na mwanasiasa tapeli ana maana na heshima kubwa, ambap member wa opposition anayetetea taifa hana akili na aliyemadarakani mwizi anapewa na ulinzi juu na heshima, ambako ukifanya kazi kwa nguvu jasho lako anakula mwingine, kuishi kwa akili kwenye mazingira kama hayo ni kutumia vibaya akili, au kuzitumia kubmoa to the fullest. Huku ndiko mpini ulikoungua na jembe likabaki.
Ukitaka uone kama nyani ngabu ana akili au hana akili mpeleke US, atahaha miaka miwili mitatu ataji-adjust ku-survive na ku-thrive. Ukitaka kuona hana akili mlete bongo, sababu unazijua. Ambako systems zimevurugwa na kuoza, ambako profesa hana maana lakini wababaishaji wanamaana kweli, ambako mwalimu na dakati ni kama ombaomba na mwanasiasa tapeli ana maana na heshima kubwa, ambap member wa opposition anayetetea taifa hana akili na aliyemadarakani mwizi anapewa na ulinzi juu na heshima, ambako ukifanya kazi kwa nguvu jasho lako anakula mwingine, kuishi kwa akili kwenye mazingira kama hayo ni kutumia vibaya akili, au kuzitumia kubmoa to the fullest. Huku ndiko mpini ulikoungua na jembe likabaki.

Mkuu, kupitana ni jambo la kawaida sana. Kumbuka kwa mfano hivi majuzi tu USSR (sasa Russia) ilikuwa bega kwa bega kimaendeleo na Marekani. Lakini Urusi imeachwa na Marekani majuzi tu tena si zaidi ya miaka 20 iliyopita. Ni kawaida kuachana.Sasa kama sisi tuna akili kama wao kwa nini wao wakaja wakatuacha kwa mbali?
Halafu huyo Rodney mzushi flani tu hivi. Kwanza hakuwepo kwenye hiyo karne ya 16. Yeye ana mtazamo wa ki Afrocentric na ktk kujitutumua ili asionekane hamnazo ndo akaja na hizo simulizi za eti viwango vya maendeleo vya Afrika vilikuwa sawa na vya Ulaya wakati huo. Give me a long break! I'm not buying that cow manure.
Umenivunja mbavu kwa huu msisitizo! Nimecheka sina hamu. Duh! Humu JF kuna watu. Ukija wakati mwingine unapunguza msongo na tension maana jamaa wanavogangamalia hoja. Hakika inafurahisha. Haya mkuu!Narejea."Tuna AKILI PUNGUFU kuliko wazungu!"
Haya ni matumizi mabaya ya akili si kukosa akili. Akili zipo ila wanazitumia ovyo: kibinafsi, na kinyume na maadili.Ujue kwamba waafrica akili zao ni pungufu angalia viongozi wetu. Wako tayari mamilion ya watu wafe ili wao wabaki madarakani. huu ni ufinyu wa akili.
angalia wanasiasa wetu hawana hata akili ya kufikiria maendeleo ya watu wao. Wanachojali ni matumbo yao. Hivi ndivyo waafrica walivyo.
Ukitaka uone kama nyani ngabu ana akili au hana akili mpeleke US, atahaha miaka miwili mitatu ataji-adjust ku-survive na ku-thrive. Ukitaka kuona hana akili mlete bongo, sababu unazijua. Ambako systems zimevurugwa na kuoza, ambako profesa hana maana lakini wababaishaji wanamaana kweli, ambako mwalimu na dakati ni kama ombaomba na mwanasiasa tapeli ana maana na heshima kubwa, ambap member wa opposition anayetetea taifa hana akili na aliyemadarakani mwizi anapewa na ulinzi juu na heshima, ambako ukifanya kazi kwa nguvu jasho lako anakula mwingine, kuishi kwa akili kwenye mazingira kama hayo ni kutumia vibaya akili, au kuzitumia kubmoa to the fullest. Huku ndiko mpini ulikoungua na jembe likabaki.
Nini maana ya Akili? wewe uliondika hoja hii ukijibu hilo nitakujibu swali lako.
Mie nadhani tuna akili vizuri sana, tatizo letu hatujui kutumia akili zetu.
Hili nalo haliwezi kuwa tatizo la kiakili?Mkuu, kupitana ni jambo la kawaida sana. Kumbuka kwa mfano hivi majuzi tu USSR (sasa Russia) ilikuwa bega kwa bega kimaendeleo na Marekani. Lakini Urusi imeachwa na Marekani majuzi tu tena si zaidi ya miaka 20 iliyopita. Ni kawaida kuachana.
Wazungu na waafrika tulikuwa sambamba kimaendeleo. Kumbuka himaya za Oyo, Mali, Mwanamtapa, nk. Watu walikuwa wanafua chuma na kutengeneza vitu mbalimbali. Kulikuwa na viwanda vya nguo, nk. Sasa hayo si maendeleo?
Wazungu walituzidi walipoanza kusafiri kuja kwetu na kwenda nchi za mbali. Ndo wakaja na utumwa na kuvuruga maendeleo yetu moja kwa moja.
Natetea kwamba akili tunazo. Shida yetu hatuna mipango madhubuti na nia ya kusimamia tunakotaka kwenda.
Hili nalo haliwezi kuwa tatizo la kiakili?