Waafrika Tuko Creative Sana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika Tuko Creative Sana!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Jan 6, 2009.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Jan 6, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Picha zifuatazo zinaonyesha kuwa waafrika tuna creativity ya hali ya juu sana; hebu fuatilia halafu utoe maoni yako​


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  (Hii ni system ya kupata maji ya moto bombani)​  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
  (Ndafu hii huwezi kuipata popote duniani)​


  [​IMG]


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Tunatisha! Picha ya pili sio Afrika lakini. Na saba za mwisho sijaelewa
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 6, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe Kichuguu umekunywa nini leo?
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jan 6, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Si wewe huwa unadai kuwa Miafrika ndivyo tulivyo? sasa huoni hiyo creativity yetu?
   
 5. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakika tupo matawi ya juu twafanya lisilowezekana. Tatizo linaloturudisha nyuma ni huu utandawazi maana tunazoea kuiga vya wenzetu.
   
 6. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siku zote uwa naamini kuwa sie ni noma,ila kuna kitu tunakosa ambacho siku tukija kukipata hata wazungu wenyewe watatuvulia kofia.Hiyo picha ya system ya kupata maji ya moto imenikosha sana,jamaa ni lazima atakuwa amesoma boding tuu kwa hilo nina uhakika.
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Jan 6, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Haya, nime-update picha zile pale juu kwa kuongeza picha zinzoonyesha creativy zaidi. Halafu nikaona inongeze hizi zinazoonyesha negatives zetu pia:​


  [​IMG]


  Ukiwa mgeni ukakutana na daladala hilo utajua kuwa linakwenda Mburahati hata kama linakwenda linakwenda Mwenge.​  [​IMG]


  Akina dada zetu wengi siku hizi wamejifunza kuwa ili wapate raha lazima wafurame. Picha zote zinazoletwa na Michuzi kutoka kumbi mbalimbali za muziki hapo Dar zinaonyesha hivyo.​

  [​IMG]

  Badala ya kufanya kazi za maana, waafrika tunaweza kutumia muda mwingi na zana za kazi kufanya mambo ya kipuuzi tu.​
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Jan 7, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pale Uwanja wa Taifa, si lazima kutoa kiingilio kila mechi. Siku moja moja geti linavunjwa na watu wanaingia bure !!

  [​IMG]
   
Loading...