Waafrika ni masikini kwa sababu maisha yao yapo connected na mizimu

Samahani ndugu ningependa kufahamu machache kutoka kwako, je unafahamu mfumo mzima wa kimaisha wa jamii za mashariki ya mbali za kiasia/ wachina, wakorea, wajapan ?
 
Wewe ni fara kwelikweli niulize kwanini nitakujibu vizuri
 
Unakuwa mastermind yaani unautawala ulimwengu na sio ulimwengu ukutawale.
 
Samahani ndugu ningependa kufahamu machache kutoka kwako, je unafahamu mfumo mzima wa kimaisha wa jamii za mashariki ya mbali za kiasia/ wachina, wakorea, wajapan ?
Ndio ila ipi SAsa ya kale au ya sasa.Maana naona duniani nzima ya sasa tunacopy West na wao ndio key ya mifumo yote duniani kuhusu maendeleo
 
Ndio ila ipi SAsa ya kale au ya sasa.Maana naona duniani nzima ya sasa tunacopy West na wao ndio key ya mifumo yote duniani kuhusu maendeleo
Kwa hiyo mfumo wa kitamaduni wa mataifa ya mashariki mwa asia ya mbali/ China, Korea ,Japan umebadilika na kuwa na mfanano na wa mataifa ya magharibi si ndivyo unavyo maanisha ?
 
Cause watu wameanza lini kumuomba Yesu? Baada ya kufa na kufufuka na kupaa.


Roho mtakatifu anaitwaje kizungu Holy Ghost. Nini maana ya Ghost?.Mzimu.


Holy Ghost= Mzimu mtakatifu.


KWA mujibu wa Biblia binadamu akifa anakuwa Mungu( Samueli wa KWANZA 28)
 
Nilifungua biashara sehemu Fulani sitaki hata kupakumbuka, aisee! Nilifirisika vibaya sana hadi nikakosa hata mia, nimeanza kusimama baada ya kuhama lile eneo.

Ulichokiandika kina ukweli kabisa sema kuna vitoto humu havijui chochote vitakuja kukubishia
 
Ndugu nilicho uliza na ulicho jibu vinawiana? ningependa tubaki kwenye hoja moja jadiliwa ya kitamaduni na sio hio hoja nyingine unayo ivumbua .
Hio mifumo ya kiutamaduni ya watu wa asia imebakia vijijini na mashambani,ambapo kumeathiri muonekano wao wa nje kiuchumi.
Tofauti na walio mijini
 
Hio mifumo ya kiutamaduni ya watu wa asia imebakia vijijini na mashambani,ambapo kumeathiri muonekano wao wa nje kiuchumi.
Tofauti na walio mijini
Rejea swali langu la mwanzo kabisa na jawabu lako la mwanzo kwenye swali langu halafu rejea swali langu la mwisho na jawabu lako la mwisho. halafu jiulize swali kwa nini kuna mganganyiko mkubwa wa majawabu yako katika maswali yangu?

Wenda hauna uelewa mpana wa kitamaduni wa jamii mbalimbali za hapa duniani mfano ni hizo jamii za mashariki mwa asia ya mbali/ China, Korea, Japan n.k
 
Hata baadhi ya nyumba za kupanga zina laana huwezi kuwa na maendeleo na zingine zina baraka KILA mpangaji akitoka hapo anahamia kwake. Hakuna kelele, vurugu au talaka. Hizi ishu za talaka wengi utalikiana hovyo awajui nini nyuma ya pazia. Ukihamia mahali ukaona migogoro ya ndoa haishi ndani ya nyumba au mambo yenu hayaendi fanya kuhama angalau hata nyumba tatu hivi mitaa tofauti ulinganishe. Utapata jibu. Nyumba nyingi ni madhabau na zina maagano mbalimbali ambayo yapo connected na mizimu.
 
Tulikosea sana kuchukua miungu ya wageni kuikaribisha kwetu na kuiacha ya kwetu..sasahivi jamii yetu imechanganyikiwa.

Kila jamii ilikua na utaratibu wao wa kuabudu na kuenzi wazee wao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…