bwanaee mimi ni muafrica na ni mtanzania pia ila nakubaliana na huomzungu asilimia 100,anachosema ni kweli kabisa.
Waafrika mazezeta!
Mtafiti wa TEKNOHAMA na mwandishi, Ole Jørgen Anfindsen (pichani) anasema kuwa Waafrika wana akili ndogo (IQ = intelligence quotient) kuliko watu wengine duniani. Amesema wazi leo kwenye kipindi cha TV 2 alltid nyheter saa 18:55 19:19 CET, kuwa kwa kuwa watu wa mataifa mengine akili zao ni finyu, basi ni vigumu watu kutoka mataifa hayo, kuzoea mila, desturi na utamaduni wa Norway, hususan wa nchi za magharibi. Akiendelea, alisema kuwa watu wenye IQ ndogo inakuwa vigumu kuenda sambamba na teknolojia inavyoenda kasi.
Alikuwa akielezea utafiti alioufanya na kuandika kwenye kitabu chake kiitwacho Selvmordsparadigmet. Pamoja na kuelezea uzezeta wa Waafrika, pia ameishambulia siasa na sheria za zinazohusu wageni kuwa ni laini mno kiasi cha kutia aibu. Anapendekeza sheria za wageni kuzibwa matundu na kukazwa zaidi ili wageni wasiingie Norway kiholela.
Nadhani kuna haja ya kusoma kwanza matokeo ya utafiti wake ili kujua ni ushahidi gani amautumia kupata matokeo hayo.
Lakini kama siyo mazezeta kwa nini?
May be this mzungu has a point. Let us critically assess our situation and see whether we can come up with a different conclusion.
- Hatuendelei kiuchumi na kijamii kama wenzetu
- Tunagawa maliasili zetu - madini, misitu, wanyama, ardhi, etc - kana kwamba tunahama nchi yetu kesho
- Tunajenga barabara mbovu
- Tunasaini mikataba mibovu ambayo inatia hasara taifa na kuwanyima wananchi huduma nyeti
- Tumeshindwa kusimamia sekta nyeti za kiuchumi kama reli ya kati na Tazara na sasa tumekabidhi wahindi waiendeshe
- Huduma za afya duni - mwenye matatizo ya miguu anapasuliwa kichwa na wa kichwa miguu
- Elimu duni
- Hatuzoi takataka kwenye miji yetu - kipindupindu (yaani ugonjwa wa kula kinyesi) hakiishi kwenye miji yetu mikubwa
- Majitaka yanaachiwa kupita kwenye barabara zetu wakati wa mvua na hata wakati mvua hazipo
- Tunaua binadamu wenzetu (maalbino) tukiamini kuwa tutatajirika kwa kutumia viungo vyao
- Tumeshindwa kusambaza huduma ya maji kwa wananchi
- Tumeshindwa kusambaza huduma za umeme kwa wananchi
- Hatuwezi kusimamia chaguzi zetu kujua ni watu wangapi wamepiga kura, nani kashinda na nani kashindwa
- Etc. etc. etc.
Kwa vigezo hivyo, ni haki yao watuone Mazuzu.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
mtafiti wa teknohama na mwandishi, ole jørgen anfindsen (pichani) anasema kuwa waafrika wana akili ndogo (iq = intelligence quotient) kuliko watu wengine duniani. Amesema wazi leo kwenye kipindi cha "tv 2 alltid nyheter" saa 18:55 – 19:19 cet, kuwa kwa kuwa watu wa mataifa mengine akili zao ni finyu, basi ni vigumu watu kutoka mataifa hayo, kuzoea mila, desturi na utamaduni wa norway, hususan wa nchi za magharibi. Akiendelea, alisema kuwa watu wenye iq ndogo inakuwa vigumu kuenda sambamba na teknolojia inavyoenda kasi.
alikuwa akielezea utafiti alioufanya na kuandika kwenye kitabu chake kiitwacho "selvmordsparadigmet". Pamoja na kuelezea uzezeta wa waafrika, pia ameishambulia siasa na sheria za zinazohusu wageni kuwa ni laini mno kiasi cha kutia aibu. Anapendekeza sheria za wageni kuzibwa matundu na kukazwa zaidi ili wageni wasiingie norway kiholela.
hao wanashindwa kurudi sababu hata wakirudi maisha yatakuwa nidiyo the worst. Mimi naomba sana tukubaliane na tafiti ya huyu sisi tuichukue km hypothesis, ili baadaye tuje tuone km tutai-refute au tutaiprove correct. Nadhani inaweza ikaja ikatusaidia to start with. Anatyekuponda kwa sababu hauenendi vizuri, anakutakia mema. Tulitakiwa kuishi maisha mazuri sana kuzidi hata hao wazungu lakini to the contrary tunaishi maisha magumu afadhali hata wanyama, though nawapa pole baadhi ya wachache wetu waliopo na wanaoishi maisha mazuri sana, kwa sababu wengi wao watakuwa hawako very uncomfortable,na wengine watakuwa wako guilty conscious (fisadis), kwani mazingira wanayoishi kuna watu wengi na pengine ndugu zao, wamewazunguka, living kind of just a hell life!kimsingi kama amefanya utafiti tumtendee haki na sisi kwa kufanya utafiti kupinga matokeo ya utafiti wake
tukumbuke waafrica walio wengi waliopo ulaya wanafanya mambo ya ajabu mno,na hawa wazungu wanachukulia upumbavu unaofanywa na hawa waafrica wachache waafrica wote ndo wako hivyo, nilishuhudia nchi za scandinavia waafrica wapo wengi, na wamekwenda huko kwa kisngizio cha elimu inayotolewa bure, wakimaliza hawarudi nyumbani mtu yuko tayari afanye masters hata 4 wakati anafanya kazi ya kufagia au kupanda miti misituni kwa ujira mdogo saana, kwa hili ni kwa nini tusionekane tuna iq finyu??????? Unamkuta kijana miaka 24 anaishi na bibi wa miaka 55.
tukubali tukatae tunatia aibu nimesikia swden wamehamua kuitroduce ada kwa vyuo vikuu vyao kwa sababu waafrica wameabuse system wanaoma bure wanamaliza hawarudi kwao wengine program ya mwaka wanasoma miaka 3 mpaka 4, hawa wazungu wafanyeje sasa kama sio kuishia kutuzarau,,
imefika mahali waafrica tubadilike
what is IQ?
what is intelligence?
Maelezo uliyotoa has nothing to do IQ au intelligence ya RACE NZIMA. Unachoongelea ni matukio ktk jamii ambayo yanaeza kukutwa sehemu yoyote duniani kutokana na misingi mibovu ya kijamii.Nadhani kuna haja ya kusoma kwanza matokeo ya utafiti wake ili kujua ni ushahidi gani amautumia kupata matokeo hayo.