Waafrika hawawaelewi Wazungu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti!

Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu ataiwekea TZ vikwazo kwa sababu ya Tundu Lisu!

Hivi kwanza mnajua hii Dunia ina nchi ngapi? Mnafahamu ni watu wangapi aina ya Tundu Lisu wanashinda kwa Wazungu kuomba wawaingilie mambo ya nchi zao?
I mean, kuanzia Syria, Pakistani, Afghanistani, Libya mpaka Uturuki na Somalia au Kongo yote hiyo ni mizigo ya Muzungu, hivyo kumbeba Tundu Lisu kwenye Machela kumpeleka Brussels eti kupata attention ya Muzungu inaonyesha jinsi gani mlivyokuwa naive na msivyoelewa jinsi hii Dunia inavyokwenda, labda mngemuuliza Maalim Seif amezunguka na kutoa lectures kwa Muzungus capital cities mpk amechoka lkn zero results na sasa hivi anampongeza Raisi Magufuli kwa kazi nzuri ya kuongoza nchi!

Jiuluzeni swali moja, Tundu Lisu amepigwa risasi miezi 4 iliyopita, hapa TZ kuna Wawakilishi wa UN, EU tena wana Balozi, USA, Urusi, Ujerumani, Ufaransa, Skandinavia, Kanada wote wapo, mbona hakuna official statement yoyote ktk kwao kulaumu au hata tu kutoa pole?
Ingawaje jitihada nyingi zimefanywa na chadema ili wafanye hivyo lkn kimya?

Dunia haiendi hivyo, ushauri wangu kwa Tundu Lisu ,,you hate what you can't conquer” na utazidi kuumia, be realistic man, zaidi ya sifa za kwenye Mitandao hakuna kitu utapata, jali familia yako ni muhimu zaidi, hakuna Muzungu ambaye ana influence Brussels anaweza kukusiliza vinginevyo wangeshafanya hivyo na usingehitaji kwenda huko!
Sasa umetangaza vita dhidi ya Serikali, huwezi kushinda kesho watakuvua Ubunge, watakunyang’anya Leseni ya Uwakili TZ, utakula wapi? Vp familia yako?

Usijidanganye, hii Dunia haijaanza jana na kuna wengi tena waliokuwa na ushawishi mkubwa lkn wamepoa, Lowasa mpaka akikuwa Waziri Mkuu hata alishiriki kuunda Serikali lkn yuko chali, ije kuwa wewe? Acha kujidanganya man!

Foreign policies haziendi hivyo!

Nakuonya tena utazidi kuumia bila ya sababu na hakuna Mtanzania atakayetoa chozi kwako kuacha Familia yako.
Najua una hasira na unataka revenge, unataka kuonyesha wewe ni Mwanaume na unataka kupigana, lkn you have to be smart also, angalia unataka kupigana dhidi ya nani? Je Raisi Magufuli, CCM, Mfumo wa JMTZ au Magufuli kama Magufuli?

Kila la Heri man, ...
 
Rubbish!
 
"Nakuonya tena utazidi kuumia bila ya sababu na hakuna Mtanzania atakayetoa chozi kwako kuacha Familia yako."

mtu usiyejulikana sijaelewa hapa naomba tafsiri tafadhali
 
nonsense, unasema hakuna official statement iliyotolewa na balozi kuhusu tukio la Tundu Lissu kushambuliwa? nafikiri unaishi dunia ya kwako peke yako. Idiot
 
nonsense, unasema hakuna official statement iliyotolewa na balozi kuhusu tukio la Tundu Lissu kushambuliwa? nafikiri unaishi dunia ya kwako peke yako. Idiot


Sijawahi kuisikia, iweke hapa au nionyeshe pa kuitafuta!
 
In fact mbowe anamtumia kucover instability iliyopo CDM akiwa anajiimarisha! Mbowe ni mwanasiasa haswa cc Retired
????
 
Kwa maneno yako,unapingana na harakati za utawala wa sheria?...tunahitaji wengibe 10000000,viva lissu,mbegu yako ya ujasiri imetujenga pia!
 
Kwa maneno yako,unapingana na harakati za utawala wa sheria?...tunahitaji wengibe 10000000,viva lissu,mbegu yako ya ujasiri imetujenga pia!


Niko realistic, mimi siyo dreamer!
 
mafii yako
 
wazungu hawahawa serikali ya CCM inayopokea mabilioni ya fedha za miradi ya misaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…